Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kuendelea madai ya kichekesho ya Netanyahu kuhusu Iran

    Kuendelea madai ya kichekesho ya Netanyahu kuhusu Iran

    May 01, 2018 02:48

    Waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatatu usiku, katika maonyesho yake mapya ya kipropaganda dhidi ya Iran, ameonyesha picha, CD na karatasi na kudai ni nyaraka zisizopingika kuhusu kile alichodai kuwa eti ni mpango wa siri wa Iran wa kuunda bomu la atomiki.

  • Afisa wa UN: Iran ni moja ya nchi muhimu kwa Umoja wa Mataifa

    Afisa wa UN: Iran ni moja ya nchi muhimu kwa Umoja wa Mataifa

    Apr 30, 2018 09:58

    Mkuu wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa mjini Tehran amesema kuwa Iran ni moja ya nchi muhimu kwa Umoja wa Mataifa kwa kuzingatia kuwa hadi sasa Makatibu Wakuu saba wa umoja huo wamekwishaitembelea Iran.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 30

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 30

    Apr 30, 2018 01:03

    Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita......

  • Haaretz: Iran; ajenda kuu ya mazungumzo ya Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na Netanyahu

    Haaretz: Iran; ajenda kuu ya mazungumzo ya Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na Netanyahu

    Apr 29, 2018 03:19

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeripoti kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ajenda kuu itakayojadiliwa katika mazungumzo kati ya Mike Pompeo Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Zarif:  Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria

    Zarif: Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria

    Apr 28, 2018 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Mchakato wa Amani wa Astana hivi sasa ni harakati pekee ambayo kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa na wengine inaweza kupelekea kupatikana amani adilifu na endelevu nchini Syria.

  • Iran, Russia, Uturuki zatoa tamko la pamoja kuhusu Syria

    Iran, Russia, Uturuki zatoa tamko la pamoja kuhusu Syria

    Apr 28, 2018 11:46

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wametoa tamko la pamoja mwishoni mwa kikao chao cha mjini Moscow, Russia na kutilia mkazo wajibu wa kulindwa ardhi nzima ya Syria na haki ya kujitawala na kujiamulia lenyewe mambo yake taifa hilo la Kiarabu.

  • Iran yazipongeza Korea 2, yaonya juu ya uchochezi wa US

    Iran yazipongeza Korea 2, yaonya juu ya uchochezi wa US

    Apr 28, 2018 03:16

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza jitihada za viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskazini za kutaka kupunguza taharuki katika Peninsula ya Korea sanjari na kuufanya wa kawaida uhusiano wao uliokuwa umevunjika kwa miongo kadhaa.

  • Iran yaulaani vikali utawala wa kijangili wa Israel baada ya vitisho vipya

    Iran yaulaani vikali utawala wa kijangili wa Israel baada ya vitisho vipya

    Apr 27, 2018 08:59

    Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umethibitisha utambulisho wake wa kijangili kutokana na sera zake za "kujitanua, uvamizi na ubaguzi" ambazo ni chanzo cha migogoro yote Mashariki ya Kati.

  • Iran: UN ikome kuupendelea utawala haramu wa Israel

    Iran: UN ikome kuupendelea utawala haramu wa Israel

    Apr 26, 2018 23:15

    Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa utawala ghasibu wa Israel ndio unaovuruga amani na usalama wa Mashariki ya Kati na amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kukoma kuupendelea utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran: Kama Marekani itajitoa katika JCPOA, Tehran itajitoa katika NPT

    Iran: Kama Marekani itajitoa katika JCPOA, Tehran itajitoa katika NPT

    Apr 26, 2018 09:41

    Katibu wa Halmashauri ya Kuanisha Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, basi Tehran itajitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Atomiki, NPT.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS