Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Dec 22, 2017 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu hatua ya hivi karibuni ya waziri wa mambo ya nje wa Bahrain aliyeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa eti kadhia ya Quds na Palestina si muhimu bali ni suala la pembeni tu.

  • Dunia yaafiki pendekezo la Iran la kupambana na misimamo mikali

    Dunia yaafiki pendekezo la Iran la kupambana na misimamo mikali

    Dec 21, 2017 07:40

    Azimio lililopendekezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu 'Dunia Dhidi ya Machafuko na Misimamo Mikali' liliidhinishwa kwa mara ya tatu na kwa kauli moja na nchi zote za dunia Jumatano katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

  • Alkhamisi tarehe 21 Disemba, 2017

    Alkhamisi tarehe 21 Disemba, 2017

    Dec 20, 2017 23:15

    Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Rabiuthani 1439 Hijria sawa na Disemba 21, 2017

  • Russia yapendekeza kwa Iran na Uturuki kuanzisha umoja wa nchi tatu wa kushirikiana katika masuala ya kimataifa

    Russia yapendekeza kwa Iran na Uturuki kuanzisha umoja wa nchi tatu wa kushirikiana katika masuala ya kimataifa

    Dec 20, 2017 12:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema, kutokana na mafanikio uliopata muungano wa pande tatu za Iran, Russia na Uturuki katika kutatua masuala ya Syria, Moscow inapendekeza kuanzishwa umoja wa nchi hizo tatu kwa ajili ya kutatua mizozo na masuala katika upeo wa kimataifa.

  • Iran yamuita balozi wa Uswisi kulalamikia madai bandia ya Marekani

    Iran yamuita balozi wa Uswisi kulalamikia madai bandia ya Marekani

    Dec 19, 2017 23:08

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Uswisi mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi kufuatia madai ya hivi karibuni ya Marekani kwamba makombora yanayofyatuliwa na vikosi vya Yemen dhidi ya Saudia yametoka Iran.

  • Muirani avumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (MS)

    Muirani avumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (MS)

    Dec 19, 2017 10:12

    Mwanabiolojia Muirani, kwa mara ya kwanza duniani, amevumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (Multiple Sclerosis) maarufu kama MS.

  • Upinzani wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ripoti iliyo dhidi ya Iran

    Upinzani wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ripoti iliyo dhidi ya Iran

    Dec 18, 2017 23:18

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipinga ripoti iliyo dhidi ya Iran iliyosambazwa na vyombo vya habari vya Marekani vinavyodai kuwa eti Iran imejaribu kununua kinyume cha sheria vipande vya makombora vinavyoweza kutumika kijeshi au katika masuala ya nyuklia kutoka kwa Ujerumani.

  • Iran yaikosoa Saudia kwa kuwaua wanawake harusini nchini Yemen

    Iran yaikosoa Saudia kwa kuwaua wanawake harusini nchini Yemen

    Dec 18, 2017 04:39

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali shambulizi la anga la ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya wanawake waliokuwa wakishiriki sherehe za harusi katika mkoa wa Ma'arb, kaskazini mwa Yemen.

  • Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Kiislamu kufanyika kesho Tehran

    Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Kiislamu kufanyika kesho Tehran

    Dec 17, 2017 10:43

    Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Kimataifa wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kinatarajiwa kufanyika kesho hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Maspika wa Mabunge ya nchi tatu za Iran, Mali na Iraq.

  • Burundi yatoa mwito wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran

    Burundi yatoa mwito wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran

    Dec 17, 2017 04:32

    Mkuu wa Jumuiya ya Biashara na Viwanda ya Burundi ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa nchi hiyo ya Kiafrika na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS