Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Tunaunga mkono mwenendo wa amani nchini Afghanistan

    Iran: Tunaunga mkono mwenendo wa amani nchini Afghanistan

    May 30, 2017 03:41

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afghanistan ametangaza kuunga mkono kikao cha mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo chenye lengo la kudumisha usalama ndani ya taifa hilo.

  • Kuimarishwa uhusiano wa Iran, Oman, Kuwait na Qatar nje ya duara la matakwa ya Saudia

    Kuimarishwa uhusiano wa Iran, Oman, Kuwait na Qatar nje ya duara la matakwa ya Saudia

    May 30, 2017 00:01

    Baada ya kupita takribani siku kumi tangu kilipofanyika kikao cha kipropaganda cha Waarabu na Marekani mjini Riyadh, Saudi Arabia, kwa lengo la kuasisi muungano bandia dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf Bin Alawi amesema uhusiano wa Muscat na Tehran umejengeka kwa msingi wa ukweli na urafiki na kusisitiza kuwa baadhi ya matukio ya kieneo hayawezi kuathiri uhusiano wa Iran na Oman.

  • Iran yawapa futari mamia ya maelfu ya Wapalestina wanaozingirwa Ghaza

    Iran yawapa futari mamia ya maelfu ya Wapalestina wanaozingirwa Ghaza

    May 30, 2017 00:00

    Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatekeleza mpango wa kuwapa futari Wapalestina karibu laki mbili katika eneo la Ukanda wa Ghaza ambalo liko chini ya mzingiro wa kinyama wa utawala haramu wa Israel.

  • Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran

    Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran

    May 28, 2017 23:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema nchi yake katu haitounga mkono wala kushirikiana na muungano wowote uliopo au utakaoundwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Meli za Kivita za Iran kuelekea Bahari ya Hindi kulinda doria

    Meli za Kivita za Iran kuelekea Bahari ya Hindi kulinda doria

    May 28, 2017 09:14

    Msafara wa meli za kivita za Iran zinatazamiwa kuelekea katika Bahari ya Hindi mwezi ujao kulinda doria na kusindikiza meli za mafuta na za kibiashara za Iran.

  • Nchi za Magharibi zinafaidika na biashara ya mihadarati Afghanistan

    Nchi za Magharibi zinafaidika na biashara ya mihadarati Afghanistan

    May 27, 2017 23:14

    Mashirika ya kijasusi ya nchi za Magharibi yanafaidika na biashara ya mihadarati nchini Afghanistan, imebainika.

  • Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu Ulaya: Haki za binaadamu zilianzia nchini Iran na sio Ulaya

    Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu Ulaya: Haki za binaadamu zilianzia nchini Iran na sio Ulaya

    May 27, 2017 23:14

    Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu barani Ulaya amesema kuwa, haki za binaadamu zilianzia nchini Iran hususan mji wa Shiraz (kusini wa nchi) uliokuwa mji mkuu wa utamaduni wa dunia.

  • Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria

    Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria

    May 27, 2017 09:03

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza ushirikiano na Russia katika kuimarisha amani, uthabiti na mapambano dhidi ya ugaidi hasa nchini Syria.

  • Dakta Zarif: Iran kinyume na Saudia, inafuatilia kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Syria

    Dakta Zarif: Iran kinyume na Saudia, inafuatilia kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Syria

    May 26, 2017 22:17

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran kinyume na Saudi Arabia, inafuatilia kuhakikisha kwamba, mgogoro wa Syria unapatiwa ufumbuzi kupitia njia za kisiasa.

  • Ubomozi wa vituo vya afya na tiba Palestina na Yemen; sera za pamoja za Israel na Saudia

    Ubomozi wa vituo vya afya na tiba Palestina na Yemen; sera za pamoja za Israel na Saudia

    May 26, 2017 22:16

    Huku akiashiria mashambulio yanayolenga vituo vya afya na tiba na kisha kutolewa vijisababu kuwa yalifanyika kimakosa, mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kwa mtazamo wa Iran, mashambulio hayo yanapaswa kulaaniwa kila sehemu yanapofanyika na hasa katika nchi za Palestina, Yemen na Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS