Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Wananchi wa Iran waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Wananchi wa Iran waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    May 26, 2017 09:22

    Wananchi wa Iran leo wameandamana katika mikoa mbalimbali baada ya Swala ya Ijumaa na kutangaza himaya yao kwa Sheikh Issa Qassim mwanazuoni wa Bahrain anayekabiliwa na vitendo vya ukandamizaji vinavyofanywa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.

  • Iran imejenga kiwanda cha tatu cha makombora chini ya ardhi

    Iran imejenga kiwanda cha tatu cha makombora chini ya ardhi

    May 26, 2017 03:24

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejenga kiwanda cha tatu cha chini ya ardhi cha kuzalisha makombora ya kujihami.

  • Iran yatuma wajumbe wa Quráni katika nchi mbalimbali duniani

    Iran yatuma wajumbe wa Quráni katika nchi mbalimbali duniani

    May 25, 2017 23:29

    Kama ilivyo ada yake ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwaka huu pia, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatuma ujumbe mbalimbali wa Quráni katika nchi tofauti za dunia.

  • Maadhimisho ya Siku ya Afrika yafanyika katika Chuo Kikuu cha Tehran

    Maadhimisho ya Siku ya Afrika yafanyika katika Chuo Kikuu cha Tehran

    May 25, 2017 23:27

    Maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyohudhuriwa na mabalozi wa nchi za Afrika waliopo hapa mjini Tehran pamoja na wanachuo na wapenzi wa masuala ya Afrika, yalifanyika jana Alkhamisi katika Chuio Kikuu cha Tehran.

  • Zarif: Wananchi wa Iran hawaogopeshwi na vitisho

    Zarif: Wananchi wa Iran hawaogopeshwi na vitisho

    May 25, 2017 23:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, taifa la Iran ni taifa imara na la watu wasiotetereka hivyo haliogopeshwi na vitisho vyovyote vya Marekani.

  • Iran iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi

    Iran iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi

    May 25, 2017 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mashambulio ya kigaidi katika baadhi ya nchi za Ulaya na Afrika na kutangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi na misimamo ya kufurutu mpaka.

  • Kofi Annan amtaka Trump aache misimamo ya chuki dhidi ya Iran

    Kofi Annan amtaka Trump aache misimamo ya chuki dhidi ya Iran

    May 24, 2017 03:05

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump kufanya mazungumzo na Iran badala ya kushikilia misimamo yake ya uhasama dhidi ya Tehran.

  • Iran: Mauaji ya waandamanaji Bahrain, matokeo ya awali ya safari ya Trump Riyadh

    Iran: Mauaji ya waandamanaji Bahrain, matokeo ya awali ya safari ya Trump Riyadh

    May 23, 2017 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushambuliwa na kuuawa wananchi wa Bahrain waliokuwa wakishiriki maandamano ya amani ni matokeo ya kwanza ya safari ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump nchini Saudi Arabia.

  • Hizbullah: Iran ni nembo ya izza na uhuru

    Hizbullah: Iran ni nembo ya izza na uhuru

    May 23, 2017 21:50

    Naibu Katibu Mkuu wa Hibzullah ya Lebanon amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nembo ya izza na ukombozi duniani.

  • Shamkhani: Baadhi ya nchi zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi

    Shamkhani: Baadhi ya nchi zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi

    May 23, 2017 11:25

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, baadhi ya nchi za eneo zinazofadhili na kuunga mkono ugaidi zinatumia mapato yao ya mafuta kuigeuza Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi na kushamirisha machafuko na vitendo vya ukatili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS