-
Iran yaanza mwaka mpya wa masomo kwa kuwaenzi wanafunzi 34 waliouawa katika uvamizi wa Israel
Sep 23, 2025 08:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewaenzi wanafunzi 34 waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kichokozi ya Israell dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka huu sambamba na kuanza mwaka wa masomo hapa nchini wa 1404-1405 kulingana na kalenda ya Iran ya hijria shamsia.
-
Jumatatu 22 Septemba
Sep 21, 2025 23:18Leo ni Jumatatu 29 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria Qamaria, mwafaka na tarehe 31 Shahrivar 1404 Hijria Shamsia mwafaaka na tarehe 22 Septemba 2024 Miladia.
-
Kurudi kwenye meza ya mazungumzo; masharti ya Iran na wajibu wa pande za Magharibi na IAEA
Sep 21, 2025 03:42Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa notisi likisisitiza kuwa ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA utasitishwa hivi karibuni.
-
Pezeshkian: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo
Sep 21, 2025 03:22Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu msimamo thabiti wa Iran, na kusema Jamhuri ya Kiislamu itashinda vikwazo vinavyochochewa na wale wote wenye nia mbaya na kamwe haitasalimu amri mbele ya uonevu na matakwa yao ya mabavu.
-
SNSC: Iran kusitisha ushirikiano na IAEA baada ya kuwekewa tena vikwazo
Sep 21, 2025 03:22Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran (SNSC) limesema Tehran itasitisha ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kutoiondolea kabisa Tehran vikwazo dhidi yake.
-
Kupinga nchi za Magharibio azimio la kuondolewa vikwazo Iran
Sep 20, 2025 23:05Nchi za Magharibi zimezuia kupitishwa azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililopendekezwa na Korea Kusini kuhusu kuongezwa muda wa kuondolewa vikwazo vya nyuklia Iran.
-
Iran: Baraza la Usalama la UN limeihasiri diplomasia kwa kupinga vikwazo visiondolewe moja kwa moja
Sep 20, 2025 00:11Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, uamuzi wa Baraza la Usalama la umoja huo wa kutoondoa moja kwa moja vikwazo ilivyowekewa Iran unadhoofisha chombo hicho kikuu cha kimataifa, unavuruga diplomasia na unahatarisha Mkataba wa Kuzuia Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT).
-
Araqchi alitaka Baraza la Usalama la UN kuchagua diplomasia badala ya makabiliano
Sep 19, 2025 23:17Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kuchagua njia ya diplomasia badala ya makabiliano.
-
Sababu za kuongezeka maradufu mauzo ya Iran barani Afrika
Sep 19, 2025 23:03Mauzo ya Iran barani Afrika yameongezeka maradufu.
-
Haj Ali Akbari: Hatutahadaika na mchezo wa Snapback
Sep 19, 2025 09:50Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuhusiana na kuhuishwa utaratibu wa "Snapback" kwamba: Inapasa kuzingatiwa kuwa baada ya kuvuka vikwazo vinavyolemaza; masuala haya kwa kiasi kikubwa ni ya kisaikolojia na ni hila yenye lengo la kupotosha fikra za waliowengi, na kamwe Iran haiwezi kuhadaika na michezo hii.