-
Iran: Suala la haki za binadamu lisitumiwe kama wenzo
Dec 10, 2016 11:07Tume ya Haki za Binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mwito wa kuacha kutumiwa suala la haki za binadamu na asasi za kimataifa kama wenzo wa kuwadhibiti wengine kifikra, kiutamaduni, kisiasa na kiuchumi.
-
Qassemi: Waziri Mkuu wa Uingereza anajipendekeza kwa nchi za Kiarabu
Dec 08, 2016 04:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali matamshi ya chuki dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, yaliyotolewa jana na Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, katika mkutano wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC, na kusisitiza kuwa kauli hiyo inalenga kuzifurahisha na kuziridhisha nchi za Kiarabu za baraza hilo.
-
IAEA yathibitisha kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Dec 07, 2016 03:52Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umesema hatua ya Iran kuuza nje ya nchi maji mazito ya nyuklia ni katika sehemu ya kuonyesha kufangamana kwake na makubaliano ya nyuklia.
-
Rais Rouhani: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa JCPOA litakuwa kali
Dec 06, 2016 12:22Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa Iran haitairuhusu Marekani ikiuke au iichane hati ya makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Zarif: Kipindi cha ubeberu wa Marekani Mashariki ya Kati kimepita
Dec 06, 2016 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, zama za ubeberu wa nchi za Magharibi hususan Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati, zimepita na kuyoyoma.
-
Iran Kuchukua hatua kali kuhusu ukiukwaji wa mapatano ya nyuklia
Dec 06, 2016 02:28Iran itachukua hatua kali na imara iwapo kutakuwepo ukiukwaji wowote wa mapatano ya nyuklia baina yake na madola sita makubwa duniani.
-
Dakta Zarif: Tunataka kuufikisha uhusiano wa Iran na China katika kiwango cha kiistratejia
Dec 05, 2016 03:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano wa kiistratejia baina ya Iran na China.
-
Jahangiri: Marekani imekiuka muafaka wa kimataifa
Dec 05, 2016 00:26Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya Baraza la Seneti la Marekani ya kupitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) na kusema kuwa, kitendo hicho mbali na kuonyesha kuwa Washington haina muamana, pia ni ukiukaji wa makubaliano ya kimataifa.
-
Jumamosi, 03 Disemba, 2016
Dec 04, 2016 08:22Leo ni Jumamosi tarehe 3 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 3 Disemba mwaka 2016.
-
Bunge la Iran laandaa hoja ya dharura ya kuanzisha tena shughuli za nyuklia
Dec 03, 2016 04:24Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wabunge wanaandaa hoja ya dharura wa kujadiliwa haraka na nje ya utaratibu wa kawaida wa kuanzisha tena shughuli za nyuklia kwa lengo la kukabiliana na hatua dhidi ya Iran iliyochukuliwa na Kongresi ya Marekani.