-
Zarif: Kurefusha vikwazo kunaonesha kuwa serikali ya Marekani haina muamana
Dec 03, 2016 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kwa mtazamo wa jamii ya kimataifa kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kunaonesha kuwa serikali ya Washington haina muamana.
-
"Obama atasaini mpango wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran"
Dec 03, 2016 00:54Baada ya Seneti ya Marekani kupitisha mpango wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran, afisa mmoja mwandamizi katika Ikulu ya Marekani (White House) amesema Rais wa nchi hiyo Barack Obama anatazamiwa kusaini mpango huo na kuwa sheria.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran
Dec 03, 2016 00:53Wajumbe wa Baraza la Seneti la Marekani wamepitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA).
-
Waziri Mkuu wa Uingereza aunga mkono makubaliano ya nyuklia Iran
Dec 01, 2016 04:15Msemaji wa Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza amesema kuwa Bi May anaunga mkono kikamilifu Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na anataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano hayo.
-
Iran: Tutajibu hatua yoyote ya Marekani ya kuvunja JCPOA
Nov 30, 2016 12:59Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kama Marekani itarefusha vikwazo dhidi ya Iran, basi Jamhuri ya Kiislamu itaongeza kiwango cha urutubishaji wake wa urani kwa "SWU" laki moja na 90 elfu.
-
CIA yamuonya Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran
Nov 30, 2016 11:08Shirika la Kijasusi la Marekani CIA limemuonya rais-mteule wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1.
-
Onyo la mkuu wa CIA kwa Trump kuhusu JCPOA
Nov 30, 2016 09:42John O. Brennan, Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amemuonya Donald Trump, rais mteule wa Marekani kutokana na msimamo wake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 yanayojulikana kwa jina la JCPOA na kusisitiza kuwa, haitakuwa busara hata kidogo kufutwa makubaliano yaliyotiwa saini na Tehran na Washington.
-
Udharura wa kutoa jibu waungaji mkono wa magaidi wanaotumia silaha za kemikali
Nov 30, 2016 00:16Mwakilishi wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) ameeleza kuwa nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayotumia silaha za kemikali zinapasa kutoa jibu kuhusu suala hilo.
-
Iran na Russia kuendeleza ushirikiano wa vita dhidi ya ugaidi
Nov 29, 2016 04:45Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamesisitiza kuhusu kuendeleza ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Iran yamuangamiza mmoja wa vinara wa ISIS mpakani
Nov 29, 2016 03:47Vikosi vya usalama vya Iran vimefanikiwa kumuangamiza mmoja kati ya vinara wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) katika eneo la mpakani.