-
Kiongozi: Kuwakumbuka mashahidi ni nukta muhimu ya kukabiliana na njama za adui
Oct 02, 2016 10:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuhimiza kumbukumbu ya mashahidi ni moja ya nukta muhimu katika kukabiliana na njama za adui na kulinda mapambano katika jamii.
-
Zarif akosoa masharti ya Ujerumani kwa Iran
Oct 02, 2016 04:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Waziri wa Uchumi wa Ujerumani aliyesema kuwa Berlin inaweza kuimarisha uhusiano wake na Tehran kwa sharti kuwa Jamhuri ya Kiislamu iutambue utawala haramu wa Israel.
-
Jumapili, Oktoba 2, 2016
Oct 01, 2016 23:15Leo ni Jumapili tarehe 30 Mfunguo Tatu Dhul-Hijjah mwaka 1437 Hijiria, mwafaka na Oktoba Pili, 2016 Miladia.
-
Iran kwa Ujerumani: Katu hatutaacha kuiunga mkono Palestina
Oct 01, 2016 04:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu nchi hii haitoacha kuiunga mkono Palestina.
-
Kuzidi kuimarika uhusiano wa Iran na Oman
Sep 30, 2016 14:31Baadhi ya picha za ziara ya ya ujumbe wa mahakama ya Oman ulipotembelea na kuonana na mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Tehran.
-
Balozi wa Iran IAEA: Silaha za Nyuklia za Israel ni tishio kwa amani duniani
Sep 30, 2016 04:19Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa eneo na dunia nzima.
-
Saudia inaunga mkono wahalifu mashariki mwa Iran
Sep 30, 2016 03:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran Abdul Ridha Rahman Fadhli amesema Saudi Arabia inaunga mkono wahalifu katika eneo la mashariki mwa nchi.
-
Iran: Madai kuwa Tehran inaipa silaha Ansarullah ya Yemen haya msingi
Sep 29, 2016 10:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuwa Tehran inalifadhili kundi la wanaharakati wa Ansarullah wa Yemen.
-
Alhamisi, Septemba 29, 2016
Sep 29, 2016 02:42Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Dhulhija 1437 Hijria sawa na 29 Septemba 2016.
-
Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran yawe tayari kukabiliana na adui
Sep 28, 2016 10:26Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa majeshi nchini kujiimarisha kiitikadi, kielimu na kinidhamu sambamba na kuwapa wanajeshi vijana uzoefu wa zama za Kujihami Kutakatifu.