-
Qalibaf awatakia kheri ya Ramadhani maspika wenzake katika nchi za Kiislamu
Mar 02, 2025 03:26Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amewapongeza maspika wenzake katika nchi za Kiislamu kwa kuwasili mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Mar 01, 2025 23:03Mshauri na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na Ethiopia na nchi za Kiafrika kwa ujumla.
-
Jeshi la Wanamaji la IRGC: Tutatoa jibu kali kwa tishio lolote
Mar 01, 2025 09:27Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kikosi hiki, kinategemea uwezo wa kielimu wa wataalamu wa ndani, na leo hii kina uwezo wa kutoa jibu madhubuti na kali kwa tishio lolote."
-
Tehran yajibu matamshi ya Uturuki dhidi ya Iran
Mar 01, 2025 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan dhidi ya sera za kieneo za Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, nchi hii haibadilishi sera zake kila siku.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 01, 2025 00:25Baadhi ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumamosi ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Sera za kinafiki za Marekani kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia
Feb 27, 2025 23:11Katika taarifa yake mpya kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia, Waziri wa Nishati wa serikali ya Marekani, Chris Wright, amesema kutokana na Marekani kuwa kinara katika masuala ya akili mnemba (artificial intelligence) na ili kuwashinda wapinzani katika teknolojia hii, nchi yake inahitaji kusambaza umeme kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika na vya bei nafuu kama vile nishati ya nyuklia.
-
Rais wa Iran ataka kuimarishwa uhusiano wa mataifa ya Waislamu
Feb 27, 2025 07:33Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuimarisha maelewano na uhusiano miongoni mwa nchi za Kiislamu zikiwemo Iran na Malaysia ni miongoni mwa mambo ya lazima katika hali ya sasa ya kimataifa.
-
Mkuu wa IRGC: Maadui wa Iran bado hawajapata vipigo 'vikali'
Feb 26, 2025 10:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amepongeza uwezo wa kiulinzi na kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, maadui wa Iran bado hawajapata vipigo 'vikali' licha ya mashambulizi na operesheni kadhaa za kulipiza kisasi zilizofanywa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-
Iran yataka kuwepo uadilifu, kuheshimiana na amani ya kimataifa
Feb 26, 2025 03:11Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesisitiza dhamira ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuunga mkono ulimwengu wa pande kadhaa, sheria za kimataifa na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kutoa wito wa kuwepo ulimwengu unaozingatia uadilifu, heshima na amani.
-
Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha ushirikiano na Russia
Feb 25, 2025 23:17Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameahidi kunyanyua kiwango cha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia kwa kuharakisha utekelezaji wa makubaliano ya pande mbili, na kuimarisha maingiliano athirifu katika masuala ya kikanda.