Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mafanikio mapya ya anga za mbali ya Iran:  Kurushwa angani satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod

    Mafanikio mapya ya anga za mbali ya Iran: Kurushwa angani satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod

    Nov 06, 2024 07:23

    Watafiti wa moja ya mashirika ya anga za juu ya Iran kwa kubuni na kutengeneza satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod wameweza kuziingiza kwa mafanikio satelaiti hizo mbili kwenye mzingo wa dunia wenye umbali wa kilomita 500 kwa kutumia roketi ya Soyuz kutokea kituo cha Vostochny nchini Russia, hapo siku ya Jumanne tarehe 5 Novemba.

  • Kulaaniwa na Jumuiya ya NAM uvamizi wa Israel dhidi ya Iran

    Kulaaniwa na Jumuiya ya NAM uvamizi wa Israel dhidi ya Iran

    Nov 05, 2024 22:44

    Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), imelaani uovu wa utawala wa Kizayuni na hujuma yake ya makusudi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutangaza kuwa, shambulio hilo ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka na umoja wa ardhi ya Iran.

  • Waziri wa Croatia: Iran ni mfano kwetu wa kuiga wa watu wa dini mbalimbali kuishi kwa amani

    Waziri wa Croatia: Iran ni mfano kwetu wa kuiga wa watu wa dini mbalimbali kuishi kwa amani

    Nov 05, 2024 09:02

    Waziri wa Utamaduni wa Croatia ametoa wito wa kuitumia tajiriba na uzoefu wa wafuasi wa dini tofauti nchini Iran katika kustawisha utamaduni wa kuishi pamoja kwa amani na masikilizano watu wa dini mbalimbali.

  • Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel

    Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel

    Nov 04, 2024 23:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema bila ya shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utapokea jibu kali kutokana na uchokozi wake wa hivi karibuni dhidi Iran.

  • Mazungumzo ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran na Naibu Waziri Mkuu wa Cuba

    Mazungumzo ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran na Naibu Waziri Mkuu wa Cuba

    Nov 04, 2024 08:13

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Cuba, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa nchi hii katika masuala ya sayansi na teknolojia na kuzungumzia nyanja za maendeleo ya ushirikiano wa kisayansi, kiteknolojia na mawasiliano.

  • Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel

    Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel

    Nov 03, 2024 06:11

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi nchini Iran na maeneo mengine duniani. Leo Makala yetu maalumu itaangazia mfumo wa kujihami angani wa Iran ujulikanao kama Bavar 373 ambao uwezo wake mkubwa umewashangaza wengi duniani.

  • Wairani waadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari

    Wairani waadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari

    Nov 03, 2024 03:58

    Sherehe za kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari wa Dunia ambayo huadhimishwa tarehe 13 Aban (Novemba 3 au 4) kila mwaka hapa Iran, zinaendelea mjini Tehran na katika miji mingine kote Iran.

  • Kuendelea hatua na misimamo ya undumakuwili ya Marekani dhidi ya Iran

    Kuendelea hatua na misimamo ya undumakuwili ya Marekani dhidi ya Iran

    Nov 02, 2024 07:45

    Rais Joe Biden wa Marekani jana Ijumaa aliwatumia barua wakuu wa bunge la wawakilishi na seneti ambapo amerefusha kwa mwaka mmoja mwingine muda wa hali ya hatari kitaifa kuhusu Iran. Biden amechukua hatua hii katika miezi yake ya mwisho akiwa White House na kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani tarehe 5 mwezi huu wa Novemba.

  • Kharrazi: Kuna muelekeo wa Iran kuongeza umbali wa masafa yatakakofika makombora yake

    Kharrazi: Kuna muelekeo wa Iran kuongeza umbali wa masafa yatakakofika makombora yake

    Nov 02, 2024 04:11

    Kamal Kharrazi, Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Nje la Iran amesema, kuna muelekeo wa Jamhuri ya Kiislamu kuongeza umbali wa masafa yatakakofika makombora yake, akionya kuwa Tehran inaweza kubadilisha mwongozo wake wa kijeshi iwapo itakabiliwa na kitisho cha kuhatarisha uwepo wake.

  • Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria

    Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria

    Nov 01, 2024 23:30

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha uhusiano na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyuga mbali mbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS