-
Ushirikiano wa Tehran na Moscow; ushirika wa kimkakati katika njia ya mfumo mpya wa kimataifa
Dec 19, 2025 11:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia kuendelea kwa ushirikiano wa kimkakati na ushirikiano kati ya Tehran na Moscow.
-
Iran, Russia zasisitiza kutekeleza mkataba wa ushirikiano wa kimkakati katika mazungumzo ya Pezeshkian na Putin
Dec 13, 2025 02:34Rais Masoud Pezeshkian jana Ijumaa alikutana na kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia pambizoni mwa Mkutano wa Kimataifa wa Amani na Uaminifu uliofanyika huko Ashgabat mji mkuu wa Turkmenistan na kusisitiza kuhusu azma thabiti ya Iran ya kutekeleza makubaliano kuhusu ushirikiano wa kina wa kimkakati kati yake na Russia.
-
Iran, Russia zajadili kuendeleza ushirikiano wa nyuklia
Oct 09, 2025 07:15Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amekutana na kuzungumza mjini Tehran na afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Taifa la Nishati ya Atomiki la Russia( Russia Rosatom) na kujadili kustawisha ushirikiano katika uga wa nishati ya nyuklia yenye malengo ya amani kati ya nchi mbili hizo waitifaki.
-
Pezeshkian: Ushirikiano wa "mafanikio" wa Iran na Russia unaashiria mwisho wa zama za uchukuaji hatua za upande mmoja
Sep 18, 2025 11:04Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kigezo "kilichofanikiwa" cha ushirikiano kati ya nchi huru, zikiwemo na Iran na Russia, utathibitisha kwamba zama za uchukuaji hatua za upande mmoja duniani zimemalizika.
-
China na Russia zahimiza kuhitimishwa 'vikwazo haramu' dhidi ya Iran
Mar 14, 2025 14:47Wanadiplomasia wa China na Russia wametoa wito wa kuondolewa "vikwazo visivyo halali" dhidi ya Iran, wakisisitiza kuwa Tehran inayo haki ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Israel yafanya maangamizi Lebanon, yateketeza msikiti na soko, idadi ya waliouawa na kujeruhiwa haijajulikana
Oct 13, 2024 10:57Msururu wa mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel yameteketeza kikamilifu msikiti na kubomoa soko kusini mwa Lebanon, katika kile kilichoelezewa kama "uangamizaji wa kila kitu" huku utawala huo ghasibu ukishadidisha na kupanua mashambulizi yake ya mabomu na makombora katika kila pembe ya nchi hiyo.
-
Iran na Russia katika njia ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 19, 2024 06:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Russia kwa madhumuni ya kuboresha mahusiano ya pande mbili.
-
Russia: HAMAS haitatoweka, inaungwa mkono na Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 29, 2024 02:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema lengo la Israel la kuliondoa vuguvugu la Muqawama wa Palestina la HAMAS kazi "isiyoendana na uhalisia".
-
Russia: Tehran na Moscow zinaendelea kuyafanyia kazi makubaliano makubwa ya ushirikiano
Jul 24, 2024 13:04Baada ya kuchapishwa taarifa kuhusu kusimamishwa kwa muda makubaliano ya ushirikiano kati ya Iran na Russia; Dmitry Peskov Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kazi ya kutekeleza makubaliano makubwa kati ya nchi yake na Iran inaendelea lakini ratiba imebadilika kwa sababu ya kufanyika uchaguzi nchini Iran.
-
Kuimarika uhusiano wa Iran na Russia kufuatia kusainiwa mkataba wa usambazaji gesi
Jun 27, 2024 05:50Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutiwa saini mapatano ya kusafirisha gesi ya Russia hadi Iran ni hatua muhimu katika mwelekeo wa kuimarisha uhusiano wa nchi mbili na hatua athirifu inayolenga kustawisha uchumi wa eneo.