Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq

    Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq

    Jun 11, 2016 02:36

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la hujuma za kitatili na za ulipizaji kisasi za Daesh (ISIS), wanachama wa kundi la hilo la kigaidi na kitakfiri wamewaua kwa kufyatulia risasi raia zaidi ya 30 magharibi mwa mji wa Fallujah, mkoa wa al-Anbar.

  • Kinara wa ISIS, Abu Bakr Baghdadi, ajeruhiwa  vitani Iraq

    Kinara wa ISIS, Abu Bakr Baghdadi, ajeruhiwa vitani Iraq

    Jun 10, 2016 09:41

    Duru nchini Iraq zinadokeza kuwa kinara wa kundi la kigiaid la ISIS (Daesh), Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abu Bakr al-Bahgdadi, amejeruhiwa katika hujuma ya ndege za kivita.

  • Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani

    Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani

    Jun 09, 2016 23:19

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia nakala za Qur'ani tukufu kutekeleza mashambulizi yake ya mabomu katika mji wa Fallujah nchini Iraq.

  • Iraq yaunga mkono kuwepo washauri wa kijeshi wa Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Iraq yaunga mkono kuwepo washauri wa kijeshi wa Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Jun 08, 2016 23:01

    Msemaji wa serikali ya Iraq amesisitiza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran walioko Iraq walitumwa nchini humo kufuatia ombi la Iraq na kwa uratibu wa Baghad kwa ajili ya kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi nchini humo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuendelea operesheni ya kuukomboa mji wa Fallujah

    Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuendelea operesheni ya kuukomboa mji wa Fallujah

    Jun 05, 2016 23:31

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesema, operesheni ya kijeshi katika mji wa Fallujah ulioko katika mkoa wa Al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo itaendelea hadi kuhakikisha uvamizi wa kundi la kigaidi la Daesh katika mji huo unahatimishwa.

  • Matukio ya Kisiasa na Kimedani Iraq

    Matukio ya Kisiasa na Kimedani Iraq

    Jun 02, 2016 02:25

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al Abadi ambaye pia ni amiri jeshi mkuu nchini humo jana alitangaza kukamilika duru za kwanza na ya pili za kuukomboa mji wa Fallujah ambao unakaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Vikosi vya Iraq vyaingia mji wa Fallujah na kuanza kuwatimua ISIS

    Vikosi vya Iraq vyaingia mji wa Fallujah na kuanza kuwatimua ISIS

    May 30, 2016 02:49

    Wanajeshi wa Iraq Jumatatu wameingia katika mji wa Fallujah na kuanza kuwatimua magaidi wa ISIS au Daesh mjini humo katika hatua ambayo imetajwa kuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya magaidi.

  • Opereseheni ya kukomboa mji wa Falluja inaendelea nchini Iraq

    Opereseheni ya kukomboa mji wa Falluja inaendelea nchini Iraq

    May 28, 2016 23:21

    Jeshi na vikosi vya wananchi vya Iraq wanaendelea na operesheni yao ya kuukomboa mji wa Falujja kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh tangu siku sita zilizopita.

  • Iraq yaitaka Jordan imrejeshe nchini humo binti wa Saddam

    Iraq yaitaka Jordan imrejeshe nchini humo binti wa Saddam

    May 20, 2016 23:25

    Serikali ya Iraq imeitaka Jordan imerejeshe nchini humo binti wa Saddam Hussein na wafuasi kadhaa wa karibu wa dikteta huyo wa Iraq wanaoishi nchini Jordan.

  • Ahadi ya serikali ya Iraq ya kuyashinda kikamilifu magaidi baada ya muda si mrefu

    Ahadi ya serikali ya Iraq ya kuyashinda kikamilifu magaidi baada ya muda si mrefu

    May 20, 2016 11:54

    Kufuatia kukombolewa mji wa kistratijia wa Rutbah katika mkoa wa Al- Anbar magharibi mwa Iraq, Waziri Mkuu wa nchi hiyo Haidar al-Abadi ametangaza kuwa karibuni hivi vikosi vya jeshi vitayashinda kikamilifu makundi ya kigaidi na kitakfiri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS