-
Iran yalaani wimbi la mashambulizi ya kigaidi ya Daesh Iraq
May 18, 2016 23:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, ambalo limesababisha vifo vya mamia ya watu tokeo Jumatano ya wiki iliyopita.
-
Papa Francis azikosoa nchi za Magharibi kwa kuzilazimishia nchi zingine demokrasia yao
May 17, 2016 10:02Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amezikosoa nchi za Magharibi kwa kulazimisha mfumo wao wa demokrasia kufanya kazi katika nchi zingine kama vile Libya na Iraq.
-
Watu 58 wauawa katika mashambulizi ya bomu Baghdad, Iraq
May 17, 2016 09:23Kwa akali watu 58 wameuawa na wengine zaidi ya 90 wamejeruhiwa katika mashambulizi matatu ya bomu yaliyoutikisa mji mkuu wa Iraq, Baghdad hii leo.
-
Wito wa Iraq kwa Jamii ya Kimataifa kuisaidia katika vita dhidi ya ugaidi
May 16, 2016 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Ibrahim al-Jaafari ameiomba Jamii ya Kimataifa iisaidie nchi yake katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Shambulizi la bomu la Daesh laua askari 17 nchini Iraq
May 13, 2016 03:19Kwa akali askari 17 wa jeshi la Iraq wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mripuko wa bomu waua watu wasiopungua 64 mjini Baghdad, Iraq
May 11, 2016 11:04Watu wasiopungua 64 wameuawa na wengine zaidi ya 85 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea leo karibu na soko moja katika kitongoji cha Sadr mashariki mwa mji mkuu wa Iraq, Baghadad.
-
Kamanda mwandamizi wa Daesh auawa nchini Iraq
May 10, 2016 03:20Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ameuawa katika hujuma ya anga nchini Iraq. Haya yanajiri huku wanajeshi wa Iraq na makundi ya wanamgambo waitifaki wakifanikiwa kukomboa vijiji kadhaa vya mkoa wa Anbar, magharibi mwa nchi hiyo ambavyo vimekuwa vikishikiliwa na magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh.
-
UN yagundua makaburi 50 ya umati nchini Iraq
May 07, 2016 03:10Umoja wa Mataifa umesema makaburi ya umati zaidi ya 50 yamegunduliwa katika maeneo mbali mbali ya Iraq, baada ya vikosi vya serikali kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyokuwa chini ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Jeshi la Iraq lakomboa vijiji kadhaa mkoani Anbar
May 05, 2016 04:01Wanajeshi wa Iraq na makundi ya wanamgambo waitifaki wamefanikiwa kukomboa vijiji kadhaa vya mkoa wa Anbar wa magharibi mwa nchi hiyo ambavyo vimekuwa vikishikiliwa na magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh au ISIS.
-
Umoja wa Mataifa: 741 waliuawa mwezi Aprili nchini Iraq
May 01, 2016 23:33Takwimu za hivi punde za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa idadi ya watu waliouawa katika machafuko na wimbi la mashambulizi ya kigaidi nchini Iraq mwezi uliopita wa Aprili ni watu 741.