-
Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq
Mar 21, 2021 04:35Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Badr katika mkoa wa al-Anbar nchini Iraq amesema Marekani inapanga njama ya kuwarejesha magaidi katika mikoa ya magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rais wa Iraq asisitiza kuhusu askari wa Marekani kuondoka nchini humo
Mar 18, 2021 09:47Rais Barham Salih wa Iraq ametangaza kuwa, uamuzi umeshachukuliwa kuhusu kuhitimisha kuwepo kwa vikosi vya jeshi vamizi la Marekani nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq atoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mashambulizi ya Halabcha
Mar 16, 2021 08:57Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa kuadhimisha kumbukumbu ya mashambulizi ya kemikali yaliyotekelezwa katika mji wa Halabcha katika eneo la Kurdistan huko Iraq kunakumbushia kuuliwa maelfu ya raia na watu wasio na hatia wa eneo hilo.
-
Iraq: Hatuna nia kabisa ya kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Mar 10, 2021 03:41Ikulu ya Iraq imetoa tamko rasmi la kukanusha madai ya chombo kimoja cha habari cha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kilichodai kuwa Baghdad iko tayari kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Chinjachinja wa Daesh atiwa mbaroni huko Talafar, Iraq
Mar 09, 2021 23:18Idara ya Intelijinisia ya jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kinara mashuhuri wa magaidiwa kundi la kitakfiri la Daesh anayefahamika kwa jina la Cihnjachinja huko Talafar nchini humo.
-
Nukta kadhaa kuhusu safari ya Papa Francis huko Iraq
Mar 09, 2021 22:49Safari ya siku tatu ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani huko Iraq ambayo ilianza Ijumaa iliyopita imemalizika.
-
Iraq yasisitiza kufanyika mazungumzo ya kitaifa na ushirikiano wa kieneo
Mar 09, 2021 01:23Waziri Mkuu wa Iraq amewasilisha miito na mpango kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa na kushirikiana nchi za eneo ili kuimarisha amani na maelewano.
-
Iraq kukamilisha ripoti kuhusu askari wa jeshi la kigaidi la Marekani kuondoka nchini humo
Mar 08, 2021 04:35Mjumbe wa kamati ya usalama na ulinzi ya Bunge la Iraq amesema, imeundwa kamati maalum ya kuandaa ripoti rasmi kuhusu kuondoka kikamilifu askari wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo na kuhitimishwa mvutano juu ya kadhia hiyo.
-
Papa Francis: Udugu una nguvu zaidi kuliko mauaji na suluhu ina nguvu zaidi kuliko vita
Mar 07, 2021 10:28Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amesema udugu una nguvu zaidi kuliko mauaji na suluhu ina nguvu zaidi kuliko vita.
-
Kwa nini Papa Francis amefanya safari nchini Iraq?
Mar 07, 2021 08:33Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani jana alikutana na kufanya mazungumzo mjini Najaf Iraq na Ayatullah Sayyid Ali Sistani Marjaa mkubwa wa Kishia nchini humo.