Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Jumatatu tarehe 27 Agosti 2018

    Jumatatu tarehe 27 Agosti 2018

    Aug 26, 2018 22:51

    Leo ni Jumatatu tarehe 15 Dhilhija 1439 Hijria sawa na 27 Agosti 2018.

  • Ammar al Hakim: Iraq haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo dhidi ya Iran

    Ammar al Hakim: Iraq haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo dhidi ya Iran

    Aug 22, 2018 21:09

    Sayyid Ammar al Hakim, kiongozi wa mrengo wa al Hikma wa Iraq kwa mara nyingine amemuonya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu vikwazo vyake dhidi ya Iran na kusema kuwa, Baghdad haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo vya kiuchumi vinavyowekwa na Washington dhidi ya taifa la Iran.

  • Wairaqi wapinga kufunguliwa ubalozi mdogo wa Saudia huko Basra

    Wairaqi wapinga kufunguliwa ubalozi mdogo wa Saudia huko Basra

    Aug 21, 2018 03:17

    Wananchi wa mkoa wa Basra nchini Iraq wamefanya maandamano makubwa sambamba na kuenea tetesi kuhusu uwezekano wa kufunguliwa ubalozi mdogo wa Saudi Arabia katika eneo hilo.

  • Rais wa Iraq: Uhusiano wa Tehran na Baghdad ni mzuri

    Rais wa Iraq: Uhusiano wa Tehran na Baghdad ni mzuri

    Aug 19, 2018 23:25

    Rais wa Iraq amevitaja vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni kwa madhara ya serikali na wananchi wa Iraq.

  • Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq

    Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq

    Aug 03, 2018 20:55

    Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.

  • Jumapili tarehe 22 Julai 2018

    Jumapili tarehe 22 Julai 2018

    Jul 21, 2018 23:00

    Leo ni Jumapili tarehe 8 Dhul-Qaadah 1439, Hijiria, sawa na tarehe 22 Julai 2018 Miladia.

  • Magaidi saba wa ISIS wapata kifungo cha maisha gerezani

    Magaidi saba wa ISIS wapata kifungo cha maisha gerezani

    Jul 20, 2018 20:48

    Mahakama nchini Iraq imewahukumu vifungo vya maisha gerezani magaidi saba Wairaqi wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh baada ya kuwapata na hatia ya kusaidia katika utekelezaji wa hujuma za kigaidi nchini humo.

  • Muqtada Sadr ataka kusimamishwa mazungumzo ya kuundwa serikali mpya ya Iraq

    Muqtada Sadr ataka kusimamishwa mazungumzo ya kuundwa serikali mpya ya Iraq

    Jul 20, 2018 02:58

    Moqtada al-Sadr, kiongozi wa muungano wa Sairun, nchini Iraq ametaka kusimamishwa mazungumzo yenye lengo la kuundwa serikali mpya, hadi pale kutakapotekelezwa matakwa ya walalamikaji.

  • Alkhamisi tarehe 19 Julai 2018

    Alkhamisi tarehe 19 Julai 2018

    Jul 18, 2018 22:40

    Leo ni Alkhamisi tarehe 05 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Julai 19, 2018.

  • Jumamosi, 14 Julai, 2018

    Jumamosi, 14 Julai, 2018

    Jul 13, 2018 22:45

    Leo ni Jumamosi tarehe 30 Mfunguo Mosi Shawwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe 14 Julai 2018.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS