Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali

    Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali

    Mar 28, 2023 22:40

    Kiongozi wa waandamanaji dhidi ya serikali ya utawala haramu wa Israel ameapa kuwa maandamano yataendelea katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu licha ya waziri mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu, kutangaza kuwa mpango tata wa marekebisho ya mahakama ya utawala huo umeakhirishwa hadi mwezi ujao.

  • Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni

    Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni

    Mar 28, 2023 03:59

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.

  • Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu

    Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu

    Mar 27, 2023 07:56

    Rais Isaac Herzog wa Israel amemtaka Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kuachana na mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi wa mahakama'.

  • Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Mar 23, 2023 07:33

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na maafisa wa utawala haramu wa Israel vya kuwepo uwezekano wa kuivamia kijeshi Lebanon na kusisitiza kuwa, uchokozi wowote wa Israel dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu utapata jibu la haraka.

  • UN, nchi za Kiarabu zalaani uropokaji wa Waziri wa Fedha wa Israel

    UN, nchi za Kiarabu zalaani uropokaji wa Waziri wa Fedha wa Israel

    Mar 21, 2023 22:49

    Umoja wa Mataifa na ulimwengu wa Kiarabu umelaani matamshi ya kichochezi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.

  • Waislamu Indonesia walaani uepo wa Israel Kombe la Dunia U20

    Waislamu Indonesia walaani uepo wa Israel Kombe la Dunia U20

    Mar 20, 2023 22:58

    Wananchi Waislamu wa Indonesia wamefanya maandamano ya kulalamikia hatua ya kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia katika mchezo wa kandanda kwa vijana wa kiume wenye umri usiozidi miaka 20.

  • Tehran, mwenyeji wa kongamano la kubainisha ubaguzi na jinai za Israel

    Tehran, mwenyeji wa kongamano la kubainisha ubaguzi na jinai za Israel

    Mar 14, 2023 22:54

    Kongamano la kupambana na ubaguzi na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina lilifanyika jana Jumanne hapa Tehran, mji mkuu wa Iran na kuhudhuria na wajumbe wa makundi ya muqawama ya Palestina, maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu na wa nchi kadhaa za Kiarabu.

  • Morocco yawaonya wanaokosoa uhusiano wa nchi hiyo na Israel

    Morocco yawaonya wanaokosoa uhusiano wa nchi hiyo na Israel

    Mar 14, 2023 22:53

    Kasri ya mfalme wa Morocco imekitaka chama kikubwa zaidi cha Kiislamu nchini humo cha PJD kiache kutoa taarifa za kukosoa na kupinga hatua ya Rabat ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Saudia yaiomba US iisaidie mpango wake wa nyuklia mkabala wa kuanzisha rasmi uhusiano na Israel

    Saudia yaiomba US iisaidie mpango wake wa nyuklia mkabala wa kuanzisha rasmi uhusiano na Israel

    Mar 10, 2023 07:03

    Saudi Arabia imeiomba Marekani iisaidie katika mpango wake wa kurutubisha madini ya urani ili mkabala wake Riyadh itangaze rasmi kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Wall Street linalochapishwa nchini Marekani.

  • Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria

    Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria

    Mar 09, 2023 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani wimbi la mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria, wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliwa na matatizo chungu nzima kutoka na maafa makubwa ya matetemeko ya ardhi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS