-
Makundi ya muqawama Palestina: Lengo letu ni kuufuta kabisa utawala haramu wa Israel
May 15, 2019 09:43Wawakilishi wa harakati za muqawama wa Palestina nchini Iran, wamesema kuwa lengo la makundi ya wanamapambano wa Kipalestina ni kuufuta kabisa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye uso wa dunia.
-
Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi
May 14, 2019 03:22Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo chimbuko la migogoro yote ya kibinadamu katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Jumanne, tarehe 14 Mei, 2019
May 13, 2019 23:43Leo ni Jumanne tarehe 8 Ramadhan 1440 Hijiria, mwafaka na tarehe 14 Mei 2019 Milaadia.
-
Mohammad Shtayyeh: Israel inataka kuwasahaulisha walimwengu umuhimu wa Quds
May 13, 2019 09:57Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, lengo la utawala wa Kizayuni la kuushambulia Ukanda wa Ghaza ni kutaka kuwasahaulisha walimwengu jinai zake na umuhimu wa mji mtakatifu wa Quds.
-
Uturuki: Tawi la shirika letu la habari Gaza limehujumiwa kwa kufichua maovu ya Israel
May 12, 2019 02:24Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema ofisi ya shirika la habari la nchi hiyo la Anadolu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeshambuliwa na jeshi la utawala haramu wa Israel kwa kufichua 'kazi chafu' na maovu ya utawala huo.
-
Dawa zilizotengenezwa Israel zakutwa mikononi mwa magaidi huko Syria
May 11, 2019 22:06Idadi kubwa ya dawa, silaha na zana za kijeshi zilizoundwa katika utawala wa Kizayuni na kupewa magaidi zimenaswa wakati wa kuwafurusha magaidi hao huko kusini mwa Syria.
-
OIC yaitaka Israel ikabidhi maeneo yote iliyoghusubu ikiwemo Golan
May 11, 2019 03:21Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukabidhi maeneo yote ulioyaghusubu ikiwemo Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na Wazayuni kuelekea Siku ya Nakba
May 11, 2019 03:18Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la Maandamano ya Haki ya Kurejea, huku maadhimisho ya Siku ya Nakba ya kumbukumbu ya mwaka wa 71 tangu kukaliwa kwa mabavu Palestina yakijongea.
-
UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu
May 09, 2019 08:03Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, na kubainisha kuwa mamia ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wako katika hatari ya kusababishiwa ulemavu wa maisha kutokana na majeraha ya risasi za jeshi katili la utawala wa Kizayuni.
-
Wapalestina waishukuru Iran kwa kuinua uwezo wa kijeshi wa muqawama
May 09, 2019 00:01Msemaji Rasmi wa Brigedi ya Quds, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa utumiwaji wa makombora aina ya Badr 3, unaonyesha ustawi wa uwezo katika sekta ya kijeshi ya muqawama wa Palestina.