Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Lebanon yakamata genge la majasusi wa Mossad

    Lebanon yakamata genge la majasusi wa Mossad

    Oct 07, 2017 23:11

    Vikosi vya usalama vya Lebanon vimetangaza kukamata genge lenye mfungamano na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad.

  • Waisraeli wakiri kuhusika na mauaji ya kizazi ya Waislamu wa Rohingya

    Waisraeli wakiri kuhusika na mauaji ya kizazi ya Waislamu wa Rohingya

    Oct 06, 2017 04:36

    Mtaalamu mmoja mashuhuri wa Israeil amesema kuwa Tel Aviv inahusika katika mauaji ya kimbari ya Waislamu wasio na hatia wala ulinzi nchini Myanmar.

  • Norway yampa hifadhi Mhahudi aliyefichua siri ya silaha za nyuklia za Israel

    Norway yampa hifadhi Mhahudi aliyefichua siri ya silaha za nyuklia za Israel

    Oct 03, 2017 22:51

    Serikali ya Norway imekubali kumpa hifadhi ya ukimbizi mtu aliyefichua kwa mara ya kwanza miradi ya siri ya kuzalisha silaha za nyuklia ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Oct 02, 2017 10:48

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala haramu wa Israel una nafasi katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.

  • Nasrullah: Israel itajuta kwa kutaka kulisukuma eneo katika vita

    Nasrullah: Israel itajuta kwa kutaka kulisukuma eneo katika vita

    Oct 01, 2017 11:59

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel chini ya 'jahili' Benjamin Netanyahu unataka kulisukuma eneo la Mashariki ya Kati katika vita.

  • Iran: Kujitenga Kurdistan na Iraq kutalipa nguvu Daesh na Israel

    Iran: Kujitenga Kurdistan na Iraq kutalipa nguvu Daesh na Israel

    Oct 01, 2017 11:56

    Hussein Amir-Abdullahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Iran amesema hatua ya Massoud Barzani, Rais wa Serikali ya Eneo la Kurdistan ya kushinikiza kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya Iraq ni sawa na kulishajiisha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na kutumikia maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sayyid Nasrullah: Marekani na Israel zinaunga mkono kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq

    Sayyid Nasrullah: Marekani na Israel zinaunga mkono kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq

    Oct 01, 2017 00:26

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba aliyoitoa kwa mnasaba wa usiku wa Ashura ya Imam Husain AS kwamba Israel na Marekani zinaunga mkono kujitenga eneo la Kurdistan na maeneo mengine ya Iraq.

  • Yemen: Tunaweza kuvisambaratisha vituo vya kijeshi vya Israel huko Eritrea

    Yemen: Tunaweza kuvisambaratisha vituo vya kijeshi vya Israel huko Eritrea

    Sep 30, 2017 04:37

    Msemaji wa Jeshi la Yemen ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendeleza chokochoko zake dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu akisisitiza kuwa, vituo vya kijeshi vya Tel Aviv vilivyoko nchini Eritrea vipo ndani ya shabaha ya makombora ya balestiki ya Yemen.

  • Indhari ya Yemen kwa utawala haramu wa Israel baada ya kuipatia Saudia kambi zake za kijeshi

    Indhari ya Yemen kwa utawala haramu wa Israel baada ya kuipatia Saudia kambi zake za kijeshi

    Sep 30, 2017 04:34

    Naibu msemaji wa jeshi la Yemen ameonya kwamba, kambi za kijeshi za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zilizoko katika visiwa vya Eritrea katikati ya Bahari Nyekundu, zinatumiwa na Saudia kwa ajili ya kufyatua makombora kuishambulia Yemen.

  • Matamshi ya uongo ya balozi wa Marekani Israel yawakasirisha Wapalestina

    Matamshi ya uongo ya balozi wa Marekani Israel yawakasirisha Wapalestina

    Sep 29, 2017 04:08

    Balozi wa Marekani Israel amewakasirisha Wapalestina baada ya kudai kwamba utawala huo haramu wa Kizayuni umevamia na kukalia kwa mabavu asilimia mbili tu ya ardhi za Palestina katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS