• Brigedi ya Izzudeen Qassam yatangaza himaya yake kwa Waislamu wa Myanmar

    Brigedi ya Izzudeen Qassam yatangaza himaya yake kwa Waislamu wa Myanmar

    Sep 16, 2017 09:17

    Brigedi ya Izzudeen Qassam tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imefanya gwaride kubwa kama ishara ya kufungmana na wananchi Waislamu wa Myanmar wanaokabiliwa na unyama na ukatili wa mabudha wanaosaidiwa na jeshi la nchi hiyo.

  • UN yalaani Israel kwa kuzuia maendeleo ya Palestina

    UN yalaani Israel kwa kuzuia maendeleo ya Palestina

    Sep 13, 2017 03:14

    Umoja wa Mataifa umeulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuzuia maendeleo pamoja na kuzorotesha hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zilizo katika eneo la Quds Mashariki, Ukingo wa Maghribi na Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha zaidi ya miaka 50 ya kukalia kwa mabavu maeneo hayo.

  • Hamas yalaani shambulizi la anga la Israel nchini Syria

    Hamas yalaani shambulizi la anga la Israel nchini Syria

    Sep 07, 2017 23:57

    Harakati ya Mapambnao ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani shambulio la Alkhamisi asubuhi la ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria.

  • Udiploasia wa kutia chumvi katika uhusiano baina ya Israel na nchi za Kiarabu

    Udiploasia wa kutia chumvi katika uhusiano baina ya Israel na nchi za Kiarabu

    Sep 07, 2017 06:44

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amedai kuwa, kumetokea mabadiliko makubwa katika uhusiano wa utawala huo na nchi za Kiarabu na kusema uhusiano huo haujawahi kushuhudiwa hapo awali.

  • Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel

    Sep 05, 2017 23:11

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi katika sekta binafsi nchini Canada imetangaza rasmi kujiunga na 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji wa Israel' maarufu kwa jina la BDS.

  • Israel yashirikiana kijeshi na Mynamar inayoua kikatili Waislamu

    Israel yashirikiana kijeshi na Mynamar inayoua kikatili Waislamu

    Sep 04, 2017 11:52

    Huku utawala wa mabudha wa Myanmar ukiendeleza ukatili wake dhidi ya Waislamu wa Rohingya, utawala wa Kizayuni wa Israel unaowakandamiza kikatili Waislamu wa Palestina nao unaimarisha ushirikiano wake wa kijeshi na serikali ya Myanmar.

  • Duru za Kizayuni zakiri kuwa Israel inayaunga mkono makundi ya kigaidi

    Duru za Kizayuni zakiri kuwa Israel inayaunga mkono makundi ya kigaidi

    Sep 02, 2017 21:58

    Utawala wa Kizayuni umekiri rasmi kuwa unawapatia misaada makundi yanayobeba silaha huko Syria na yale ya kigaidi yanayopigana dhidi ya serikali ya nchi hiyo. Uungaji mkono wa utawala huo kwa makundi hayo yanayobeba silaha ni wazi kuwa hauishii tu katika kuwapatia matibabu wanamgambo majeruhi katika hospitali za Israel.

  • Lebanon yakanusha madai ya kuwepo viwanda vya makombora vya Iran nchini humo

    Lebanon yakanusha madai ya kuwepo viwanda vya makombora vya Iran nchini humo

    Sep 02, 2017 03:01

    Waziri Mkuu wa Lebanon amekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatengeneza viwanda vya kuzalisha makombora katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kufeli njama za Marekani na Israel nchini Lebanon

    Kufeli njama za Marekani na Israel nchini Lebanon

    Sep 01, 2017 21:55

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, siku ya Alkhamisi iliyoambatana na sherehe za ukombozi wa pili wa Lebanon na kusafishwa kikamilifu magaidi wakufurushaji nchini humo, alizungumzia ushindi mkubwa lilioupata jeshi na muqawama wa Lebanon katika vita dhidi ya magaidi, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, hivi sasa hakuna nukta yoyote ya ardhi ya Lebanon iliyoko mikononi mwa magaidi.

  • UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    Aug 30, 2017 10:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mzingiro wa kibaguzi wa karibu muongo mmoja dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.