Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wazayuni waandamana tena kulalamikia ufisadi wa Netanyahu

    Wazayuni waandamana tena kulalamikia ufisadi wa Netanyahu

    Aug 27, 2017 03:24

    Kwa mara nyingine tena maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano katika mji wa Tel Aviv huko Israel kushinikiza kuuzuliwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakimtuhumu kwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi.

  • Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video

    Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video

    Aug 26, 2017 10:56

    Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.

  • Matamshi ya chuki ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Matamshi ya chuki ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Aug 25, 2017 02:05

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine ameonana na Rais Vladimir Putin wa Russia katika mji wa Sochi na kujaribu kwa tamaa zake kuionesha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa eti ni nchi hatari katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kiujumla; hata hivyo amefeli.

  • Jordan: Askari wa Kizayuni aliyeua Wajordan lazima ahukumiwe

    Jordan: Askari wa Kizayuni aliyeua Wajordan lazima ahukumiwe

    Aug 22, 2017 03:53

    Kufuatia mashinikizo na malalamiko ya Wajordan kuhusiana na kitendo cha askari wa utawala wa Kizayuni aliyeua raia wawili wa nchi hiyo, hatimaye serikali ya Amman imetangaza msimamo wake wa kutaka kupandishwa mahakamani askari huyo.

  • Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki

    Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki

    Aug 21, 2017 04:00

    Mchambuzi na mwandishi wa Israel amesema kuwa utawaka Kiizayuni umepatwa na wasiwasi mkubwa kufuatia safari ya Mkuu wa Vikosi vya Jeshi la Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki katika fremu ya kupanua mahusiano ya pande zotei wa nchi hizo mbili.

  • Rais wa zamani wa Lebanon: Yemen itashinda vita kama vile Iraq na Syria zilivyowashinda magaidi

    Rais wa zamani wa Lebanon: Yemen itashinda vita kama vile Iraq na Syria zilivyowashinda magaidi

    Aug 17, 2017 23:46

    Rais wa zamani wa Lebanon Émile Lahoud amesema kuwa, Wayemen wataibuka washindi dhidi ya vibaraka wa Saudi Arabia, kama ambavyo Syria na Iraq zimepata ushindi dhidi ya magaidi na waungaji wao mkono.

  • Ripoti: Balozi wa Israel kurejea mjini Cairo, Misri

    Ripoti: Balozi wa Israel kurejea mjini Cairo, Misri

    Aug 17, 2017 02:28

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umesema utafungua tena ubalozi nchini Misri na kumrejesha balozi wake mjini Cairo.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Israel itashindwa vibaya na kufedheheka katika vita yoyote ya baadaye

    Sayyid Hassan Nasrullah: Israel itashindwa vibaya na kufedheheka katika vita yoyote ya baadaye

    Aug 13, 2017 23:31

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kushindwa na kufedheheka vitaukumba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita yoyote ile itakayotokea, zaidi ya kushindwa kulikoukuta katika vita vya siku 33 vya mwaka 2006.

  • Jordan yamzuia balozi wa Israel kurejea mjini Amman

    Jordan yamzuia balozi wa Israel kurejea mjini Amman

    Aug 12, 2017 03:07

    Serikali ya Jordan imeripotiwa kumzuia balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kurejea mjini Amman hadi pale hatua za kisheria zitakapochukuliwa dhidi ya mlinzi wa ubalozi wa Israel aliyeua raia wawili wa Jordan hivi karibuni.

  • UN: Mzingiro dhidi ya Ghaza unapasa kuhitimishwa

    UN: Mzingiro dhidi ya Ghaza unapasa kuhitimishwa

    Aug 11, 2017 21:54

    Msemaji wa Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ametaka kuhitimishwa mzingiro wa utawala ghasibu wa Isarel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS