Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Polisi ya Israel kumsaili tena Waziri Mkuu Netanyahu

    Polisi ya Israel kumsaili tena Waziri Mkuu Netanyahu

    Mar 06, 2017 04:08

    Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni atahojiwa tena na polisi ya utawala huo kwa mara ya nne katika muda wa mwezi mmoja.

  • Taasisi za kisheria zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni na njama za kufunika jinai hizo

    Taasisi za kisheria zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni na njama za kufunika jinai hizo

    Mar 04, 2017 08:51

    Utawala wa Kizayuni umemzuia Ripota wa Masuala ya Haki za Binadamu kuingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch hivi karibuni lilitoa ripoti zinazokosoa jinai za utawala huo wa Kizayuni.

  • Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe

    Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe

    Mar 03, 2017 10:07

    Watu wa Canada wametaka bidhaa zinazotegenezwa Israel zisusiwe nchini humo kama njia ya kutetea haki za taifa la Palestina.

  • Afisa wa Israel akiri jeshi la utawala wa Kizayuni lilishindwa katika vita vya siku 50 Ukanda wa Gaza

    Afisa wa Israel akiri jeshi la utawala wa Kizayuni lilishindwa katika vita vya siku 50 Ukanda wa Gaza

    Mar 01, 2017 00:57

    Kamanda wa zamani katika jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel eneo, amekiri wazi kwamba jeshi na serikali yote ya utawala huo, vilishindwa katika vita ya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Gaza, Palestina.

  • Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza

    Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza

    Feb 28, 2017 04:22

    Jeshi la utawala katili wa Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi watu kadhaa.

  • Radiamali ya Umoja wa Mataifa kwa hatua zilizo dhidi ya ubinadamu za utawala wa Israel

    Radiamali ya Umoja wa Mataifa kwa hatua zilizo dhidi ya ubinadamu za utawala wa Israel

    Feb 27, 2017 23:13

    Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba, katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita, utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa makumi ya nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hivyo kuwaacha Wapalestina wengine wakitangatanga kutokana na kutokuwa na makazi.

  • Bunge la Ufaransa lamtaka Rais  Francois Hollande kuitambua rasmi Palestina

    Bunge la Ufaransa lamtaka Rais Francois Hollande kuitambua rasmi Palestina

    Feb 27, 2017 04:09

    Wabunge wa Ufaransa wamemtaka Rais wa nchi hiyo Francois Hollande aitambue rasmi Palestina.

  • Hamas: Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa kuangamizwa Israel

    Hamas: Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa kuangamizwa Israel

    Feb 24, 2017 23:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, sharti la kuweko amani na uthabiti katika Mashariki ya Kati ni kuangamizwa utawala haramu wa Israel.

  • AI: Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    AI: Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    Feb 23, 2017 03:04

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutuhumu utawala haramu wa Israel kwa kuhusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Palestina.

  • Ramadan Shalah: Utawala wa Kizayuni unakabiliwa na matatizo mengi

    Ramadan Shalah: Utawala wa Kizayuni unakabiliwa na matatizo mengi

    Feb 22, 2017 00:37

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islamu ya Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel haupo katika hali nzuri na unakabiliwa na matatizo chungu nzima.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS