-
Israel kujenga ukuta wa chini ya ardhi huko Ghaza
Jun 17, 2016 23:58Israel inajiandaa kujenga ukuta mkubwa wa saruji huko Ukanda wa Ghaza. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth
-
Israel yawakatia maji Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jun 15, 2016 02:48Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakatia huduma za maji Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan licha ya joto kali na hitajio kubwa la bidhaa hiyo muhimu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Upinzani wa Israel kwa mpango wa amani wa Waarabu
Jun 14, 2016 03:34Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa anapinga mpango wa amani uliopendekezwa na nchi za Kiarabu.
-
Israel yafuta maeneo matakatifu ya Kiislamu katika ramani mpya
Jun 13, 2016 21:59Wizara ya Utalii ya utawala wa Kizayuni wa Israel imechapisha ramani mpya ya mji wa Quds tukufu ambayo ndani yake maeneo yote matakatifu ya Kiislamu na Kikristo yamefutwa.
-
Wazayuni wazidi kuwateka nyara wanawake na wasichana wa Kipalestina
Jun 13, 2016 10:22Tangu ilipoanza Intifadha ya Quds mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2015 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawateka nyara makumi ya wanawake na washichana wa Kipalestina.
-
UN yaikosoa Israel kuwakataza Wapalestina kuingia katika ardhi zao
Jun 10, 2016 23:19Umoja wa Mataifa umeukosoa utawala haramu wa Israel kwa kuwazuia Wapalestina kuingia na kutembea katika ardhi zao unazozikalia kwa mabavu.
-
Israel inawapelekea 'futari' wapiganaji wa Daesh huko Syria
Jun 10, 2016 09:52Imerifiwa kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unawapelekea misaada ya chakula wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika maeneo ambayo yako chini ya udhibiti wao nchini Syria.
-
Israel yawakataza Wapalestina kutembeleana mwezi wa Ramadhan
Jun 09, 2016 09:25Utawala wa Kizayuni wa Israel umewapiga marufuku Wapalestina kutembeleana na kufanya ziara katika maeneo matakatifu ya ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu, katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, kufuatia shambulizi dhidi ya Tel Aviv.
-
Kuteuliwa utawala wa Kizayuni kuongoza kamati ya sheria ya Umoja wa Mataifa
Jun 09, 2016 02:30Harakati kubwa zilizofanywa kuupatia utawala wa Kizayuni wa Israel uwanachama kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kuupatia uongozi utawala huo kwenye baraza hilo ambako kumeonyesha ufanyaji mkubwa wa mambo kisiasa na upotoshaji malengo na vigezo vya kisheria katika chombo hicho cha kisheria cha UN, vimezidi kudhihirisha jinsi suala la haki za binadamu linavyoendelea kutumiwa kisiasa.
-
Palestina: Ni kinaya kuteuliwa Israel kuongoza kamati ya UN
Jun 08, 2016 23:12Afisa wa ngazi za juu wa Palestina ameitaja kama kichekesho na kinaya, hatua ya kuteuliwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Mataifa.