-
Radiamali mbalimbali kuhusu kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Israel
Jun 08, 2016 01:40Harakati ya Hizbullahi ya Lebanon imelaani kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Wazayuni na kusema kukwa, kimya hicho ni mkamilishaji wa siasa za kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya nchi hizo na Israel.
-
Waziri: Israel inahusika na wimbi la mauaji linaloshuhudiwa Bangladesh
Jun 07, 2016 03:11Serikali ya Bangladesh imesema yumkini kuna mkono wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika wimbi la mauaji linaloendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Walowezi wa Kizayuni wafanya maandamano Quds, wavamia al-Aqsa
Jun 06, 2016 02:59Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wamefanya maandamano ya kutiliwa shaka mashariki mwa Quds inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel na kuzusha hali ya taharuki katika eneo hilo.
-
40% ya Waingereza, 33% ya Wamarekani wanaunga mkono kususiwa Israel
Jun 01, 2016 02:21Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani na karibu nusu ya wananchi wa Uingereza wanaunga mkono kususiwa na kuwekewa vikwazo utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Israel, Misri, UAE na Jordan zapanga kumtimua Rais wa Palestina
May 29, 2016 23:56Utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake ikiwemo Misri, Umoja wa Falme za Kiarabu na Jordan zinapanga njama ya kumuondoa madarakani Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas.
-
Frangieh: Marekani haina uwezo wa kuidhoofisha Hizbullah
May 27, 2016 23:17Mkuu wa harakati ya el Marada ya Lebanon amesema kuwa, vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Hizbullah haviwezi kuidhoofisha harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu.
-
Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel
May 27, 2016 03:21Uholanzi imekataa wito wa utawala wa kibaguzi wa Israel wa kupiga marufuku kampeni inayozidi kupanuka ya kimataifa ya kutaka walimwengu wasusie bidhaa za Israel.
-
Palestina: Baraza jipya la mawaziri la Israel tishio kwa eneo
May 25, 2016 09:56Katibu Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, baraza jipya la mawaziri la utawala haramu wa Israel ni tishio kwa usalama na utulivu wa eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Sheikh Naeem Qassim: Muqwama wa Lebanon umejiweka tayari kukabiliana na Israel
May 25, 2016 03:01Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa harakati hiyo ya muqawama iko tayari kikamilifu kukabiliana na vitisho na uvamizi unaoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mamlaka ya Palestina yakataa takwa la Israel la mazungumzo ya ana kwa ana
May 24, 2016 11:50Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Rami Hamdallah amekataa takwa la utawala wa Kizayuni wa Israel la kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na mamlaka hiyo.