-
Jumanne, Mei 24, 2016
May 23, 2016 23:21Leo ni Jumanne 17 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 24 Mei mwaka 2016 Miladia.
-
UN: Tunasikitishwa na kuongezeka jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 21, 2016 11:28Umoja wa Mataifa umeelezea kusikitishwa kwake na ongezeko la jinai za Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina waandamana Siku ya Nakba, wasisitiza mapambano dhidi ya Israel
May 15, 2016 23:05Wapalestina wameandamana Jumapili katika maeneo mbalimbali ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 68 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.
-
Mohsen Rezai: Daesh ni mdhamini wa usalama wa Israel
May 13, 2016 23:20Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushamiri na kuenea makundi ya kitakfiri na kigaidi kumevuruga amani ya eneo la Mashariki ya Kati na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni.
-
Kasisi mmoja Mzayuni akumbwa na kashfa ya fedha, maadili
May 12, 2016 23:40Kasisi mmoja Mzayuni ambaye ni mtu wa karibu sana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekumbwa na kashfa za fedha na maadili.
-
Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina
May 10, 2016 23:47Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.
-
Mfalme wa Saudia alifadhili kampeni za waziri mkuu wa Israel, Netanyahu, mwaka 2015
May 10, 2016 00:19Mjumbe wa Bunge la Utawala haramu wa Israel (Knesset) amefichua kuwa Mfalme Salman bin Abdulazizi wa Saudi Arabia alifadhili kampeni za uchaguzi za waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mwaka 2015.
-
Mjumbe wa Venezuela ashindwa kuvumilia jinai za Israel
May 07, 2016 23:17Wawakilishi wa Venezuela na utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambuliana kwa maneno katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na Palestina.
-
Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani
May 07, 2016 03:41Meya wa zamani wa London nchini Uingereza amesema kuanzishwa utawala haramu wa Israel ni janga kubwa la kihistroria ambalo taathira zake hasi zinaendelea kushuhudiwa.
-
Hizbullah: Saudia inaiunga mkono Israel kukalia kwa mabavu Palestina
May 06, 2016 08:38Afisa mwandamizi wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelaani kile alichokitaja kuwa juhudi za utawala wa Aal-Saud za kukwamisha muqawama wa Wapalestina dhidi ya utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa serikali ya Saudi Arabia inaunga mkono hatua ya utawala huo wa Kizayuni kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.