-
Russia: Iran ina haki ya kujitetea mbele ya mashambulizi ya Marekani, Israel
Mar 13, 2026 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki ya kujitetea na kukabiliana na hujuma za Marekani na Israel na ametoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya Marekani na Israel na kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
-
Waisraeli 2,700 wajeruhiwa katika mashambulizi ya kisasi ya Iran
Mar 13, 2026 03:13Ripoti ya Wizara ya Afya ya utawala wa Kizayuni wa Israel imesema Waisraeli zaidi ya 2,700 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza Februari 28.
-
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?
Mar 09, 2026 09:02Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Njama ya 'genge la Netanyahu' ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka
Mar 07, 2026 05:59Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua njama chafu iliyokuwa ikipikwa na genge la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kushambulia kwa makombora Msikiti wa al-Aqsa ili kuibua fitna katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Msemaji wa IRGC: Silaha mpya za Iran za kukabiliana na uchokozi wa adui Marekani na mzayuni ziko njiani
Mar 06, 2026 09:06Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC ametangaza kuwa mbinu mpya na silaha mpya ziko njiani kuzinduliwa kwa ajili ya kukabiliana na uchokozi wa kijeshi ulioanzishwa na Marekani na utawala wa kizayuni.
-
Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon
Mar 06, 2026 04:40Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imewataka walowezi wa vitongoji haramu katika mpaka wa pamoja wa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel kuondoka katika eneo hilo mara moja.
-
IRGC: Hakuna jinai na mauaji ya kidhulma yanayofanywa na US na wazayuni yatayopita bila ya jibu
Mar 03, 2026 15:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa, wahalifu wa Kimarekani na Kizayuni wajue kwamba hakuna hata moja kati ya jinai na mauaji ya kidhulma wanayofanya yatakayopita bila ya jibu.
-
UN yataka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu wasichana wadogo 167 waliouliwa na US/Israel
Mar 03, 2026 15:06Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu shambulio lililolenga skuli ya msingi ya wasichana katika mji wa Minab kusini mwa Iran.
-
IRGC: Majibu yajayo yatakuwa makali zaidi, Tel Aviv yateketea kwa makombora
Mar 03, 2026 14:06Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, kiwango cha nguvu za makombora kitaongezwa na mwendelezo wa mashambulio dhidi ya maadui wavamizi utazidi kurefushwa.
-
Larijani: Taifa la Iran litawafanya maadui wajutie uchokozi wao
Mar 01, 2026 02:20Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani amesema taifa hili litazifanya Marekani na Israel kujutia uchokozi wao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.