Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Shughuli katika bandari ya Israel ya Eilat zapungua kwa 80%

    Shughuli katika bandari ya Israel ya Eilat zapungua kwa 80%

    Dec 19, 2023 23:34

    Gazeti la Kizayuni la Calcalist limeripoti kuwa, shughuli za upakiaji na upakuaji wa mizigo katika bandari ya Eilat ya utawala wa Kizayuni wa Israel zimepungua kwa asilimia 80.

  • Ali Shamkhani: Ansarullah ya Yemen imeweka mashinikizo kwenye mshipa mkuu wa Wazayuni

    Ali Shamkhani: Ansarullah ya Yemen imeweka mashinikizo kwenye mshipa mkuu wa Wazayuni

    Dec 18, 2023 23:05

    Mshauri wa masuala ya kisiasa wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Hatua ya kijasiri ya Ansarullah ya Yemen ya kuzuia usafirishwaji wa meli hadi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) imeweka mashinikizo katika mshipa mkuu Wazayuni.

  • Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia

    Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia

    Dec 18, 2023 06:49

    Wapalestina zaidi ya 100 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.

  • HRW yaikosoa vikali Israel kwa kutumia njaa na unyimaji chakula kama 'silaha ya vita'

    HRW yaikosoa vikali Israel kwa kutumia njaa na unyimaji chakula kama 'silaha ya vita'

    Dec 18, 2023 07:56

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unatumia unyimaji chakula kama "silaha ya vita" huko Gaza kwa kukata makusudi upatikanaji wa maji na chakula kwa watu wa eneo hilo, kitendo ambacho ni uhalifu wa kivita.

  • Kushindwa Umoja wa Ulaya  kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza

    Kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza

    Dec 16, 2023 08:03

    Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Ulaya umemalizika huku viongozi wa nchi 27 za Ulaya wakishindwa kufikia makubaliano ya pamoja katika taarifa yao ya mwisho kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na matukio ya Gaza.

  • Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza

    Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza

    Dec 13, 2023 07:46

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kundi hilo la muqawama wa Kiislamu litaendelea kufanya mashambulizi ya ulipizaji kisasi dhidi ya Israel, madhali utawala huo wa Kizayuni unaendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Israel iliidondoshea Gaza mabomu 22,000 ya US ndani ya wiki 6

    Israel iliidondoshea Gaza mabomu 22,000 ya US ndani ya wiki 6

    Dec 12, 2023 23:17

    Ripoti mpya imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel ulidondosha zaidi ya mabomu 22,000 uliopewa na Marekani katika Ukanda wa Gaza, katika kipindi cha wiki sita za kwanza za mashambulizi ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa ukanda huo.

  • Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel

    Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel

    Dec 12, 2023 23:16

    Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimekiri kuhusika na shambulizi la kombora la cruise dhidi ya meli ya mafuta katika Bahari Nyekundu, ikiwa njiani kuelekea katika bandari ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani

    Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani

    Dec 12, 2023 23:09

    Marekani ikiwa ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni sio tu kwamba, imetoa uungaji mkono mkubwa wa kisiasa na kisilaha kwa utawala huo wakati wa vita vya Gaza, bali mfumo tawala wa Washington pia umeongeza mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Wapalestina na wakosoaji wa jinai za utawala ghasibu wa Israel.

  • Uchunguzi wa maoni: Wamarekani wengi wanapinga sera ya Biden kuhusu vita vya Gaza

    Uchunguzi wa maoni: Wamarekani wengi wanapinga sera ya Biden kuhusu vita vya Gaza

    Dec 11, 2023 23:29

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa na televisheni ya Marekani ya CBS News umeonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wamarekani wanapinga jinsi Rais Joe Biden anavyoshughulikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS