Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • "Shambulio la Israel dhidi ya kanisa Gaza linakumbusha tabia za ISIS"

    Oct 21, 2023 04:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la Israel dhidi ya Kanisa la Saint Porphyrius katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, "Shambulio la Israel dhidi ya kanisa Gaza linashabihiana na nyendo za kundi la kigaidi la ISIS."

  • Jumuiya ya OANA yataka kulindwa waandishi wa habari Gaza

    Jumuiya ya OANA yataka kulindwa waandishi wa habari Gaza

    Oct 19, 2023 23:28

    Jumuiya ya Mashirika ya Habari ya Asia-Pasifiki (OANA) imesisitizia haja ya kudhaminiwa usalama na ulinzi waandishi wa habari walioko katika Ukanda wa Gaza.

  • Shirika: Israel inaua watoto 100 wa Kipalestina kila siku

    Shirika: Israel inaua watoto 100 wa Kipalestina kila siku

    Oct 18, 2023 08:55

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake mjini Geneva Uswisi limesema kwa wastani utawala haramu wa Israel unaua shahidi watoto 100 wa Kipalestina katika kila saa 24 katika Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS: Tutawaachia Waisraeli mkabala wa kuachiwa huru wafungwa 6,000 wa Kipalestina

    HAMAS: Tutawaachia Waisraeli mkabala wa kuachiwa huru wafungwa 6,000 wa Kipalestina

    Oct 18, 2023 00:21

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema iko tayari kuwaachia huru mateka wa Kizayuni iliowakamata katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa, mkabala wa utawala haramu wa Israel kuwaachia huru maelfu ya wafungwa wa Kipalestina.

  • Hujuma mpya za Israel zaua shahidi Wapalestina 70 Rafah, Khan Younis

    Hujuma mpya za Israel zaua shahidi Wapalestina 70 Rafah, Khan Younis

    Oct 17, 2023 10:24

    Wapalestina wasiopungua 70 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika miji ya Rafah na Khan Younis, kusini mwa eneo la Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Ni mbwa, si mtoto.. Mwandishi habari wa Marekani afichua uongo wa Netanyahu, madai ya Hamas kuua watoto

    Ni mbwa, si mtoto.. Mwandishi habari wa Marekani afichua uongo wa Netanyahu, madai ya Hamas kuua watoto

    Oct 15, 2023 22:59

    Mwandishi wa habari wa Marekani, Jackson Hinkle, meifichua uwongo wa picha iliyodaiwa ni ya mtoto aliyeungua moto iliyochapishwa na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, aliyesema kwamba ilikuwa ya mtoto wa Kiisraeli aliyechomwa moto na wapiganaji wa Harakati ya mapambano ya Kislamu ya Palestina (Hamas).

  • Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari

    Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari

    Oct 14, 2023 22:53

    Baada ya kuanza oparesheni kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" iliyotekelezwa na Hamas na makundi mengine ya mapambano ya Palestina; serikali na vyombo vya habari vya Magharibi kwa upande mmoja vimeanzisha propaganda kubwa ili kuzuia kuakisiwa habari na matukio yanayojiri huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku vikichapisha na kutoa habari za uwongo ili kuonyesha taswira isiyo ya kibinadamu kuhusu wanamapambano wa Palestina.

  • Wazayuni waendeleza jinai dhidi ya Wapalestina, jamii ya kimataifa yaonya

    Wazayuni waendeleza jinai dhidi ya Wapalestina, jamii ya kimataifa yaonya

    Oct 14, 2023 10:06

    Taasisi na asasi mbalimbali za kimataifa zinaendelea kulaani mpango wa kikatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu wananchi wa kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.

  • Israel yataka wakazi wote wa kaskazini mwa Gaza wahame; imeshaua Wapalestina 1,570

    Israel yataka wakazi wote wa kaskazini mwa Gaza wahame; imeshaua Wapalestina 1,570

    Oct 13, 2023 04:13

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeuambia Umoja wa Mataifa kuwa, kuna haja kwa wakazi wote wa eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuondoka na kwenda katika maeneo mengine ya ukanda huo katika kipindi cha saa 24 zijazo.

  • Israel yashambulia kwa makombora viwanja vya ndege Syria

    Israel yashambulia kwa makombora viwanja vya ndege Syria

    Oct 13, 2023 03:43

    Vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimefanya mashambulizi ya anga kwa kutumia makombora dhidi ya viwanja viwili vya ndege nchini Syria; wakati huu ambapo dunia inaendelea kulaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Tel Aviv katika maeneo ya makazi ya raia huko katika Ukanda wa Gaza ili kujaribu kufidia kipigo ulichopata kutoka kwa wapambanaji wa Hamas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS