Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Italia

  • Italia: Vitisho vya Khalifa Haftar havitazuia operesheni zetu katika Bahari ya Mediterania

    Italia: Vitisho vya Khalifa Haftar havitazuia operesheni zetu katika Bahari ya Mediterania

    Aug 05, 2017 08:50

    Balozi wa Italia nchini Libya, Giuseppe Perrone amesema kuwa vitisho vilivyotolewa na kamanda wa Jeshi la Taifa la nchi hiyo Khalifa Haftar, havitazuia majukumu ya Italia katika maji ya eneo hilo.

  • Al Mijabri akosoa makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali ya umoja wa kitaifa na Italia

    Al Mijabri akosoa makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali ya umoja wa kitaifa na Italia

    Aug 04, 2017 04:26

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Libya mwenye mfungamano na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yenye makao yake katika mji mkuu Tripoli amekosoa makubaliano yaliyofikiwa kati ya Waziri Mkuu wa serikali hiyo na na Italia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Nchi nne za Kiarabu zilizotuwekea vikwazo zina nia mbaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Nchi nne za Kiarabu zilizotuwekea vikwazo zina nia mbaya

    Aug 02, 2017 22:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar kwa mara nyingine tena amelaani kikao dhidi ya nchi yake kilichofanyika hivi karibuni huko Bahrain na kuendelea kuzingirwa nchi hiyo na Saudi Arabia na waitifaki wake.

  • Juhudi za Italia za kuwepo katika pwani ya Libya kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri

    Juhudi za Italia za kuwepo katika pwani ya Libya kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri

    Jul 30, 2017 03:16

    Italia imechukua uamuzi mpya wa kutuma kikosi cha Gadi ya Pwani ili kuwazuia wahajiri wanaotokea pwani ya Libya.

  • Libya yaialika Italia katika maji yake kupambana na magendo ya binadamu

    Libya yaialika Italia katika maji yake kupambana na magendo ya binadamu

    Jul 26, 2017 09:36

    Serikali ya Libya yenye makao yake huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo imezialika meli za kivita za Italia katika maji ya nchi hiyo ili kusaidia mapambano dhidi ya magendo ya binadamu. Hayo yamesemwa leo na Paolo Gentiloni Waziri Mkuu wa Italia.

  • Jumatatu 10 Julai, 2017

    Jumatatu 10 Julai, 2017

    Jul 10, 2017 04:16

    Leo ni Jumatatu tarehe 15 Shawwal 1438 Hijria sawa na 10 Julai, 2017.

  • Mawaziri wa Ulaya na Afrika wakutana Roma kujadili mgogoro wa wahajiri

    Mawaziri wa Ulaya na Afrika wakutana Roma kujadili mgogoro wa wahajiri

    Jul 06, 2017 09:30

    Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje na wa Masuala ya Wahajiri wa nchi za Ulaya na Afrika kimefanyika Roma mji mkuu wa Italia kujadili njia ya kupambamba na mgogoro wa sasa wa wahajiri katika bahari ya Mediterania.

  • Ijumaa, Juni Pili, 2017

    Ijumaa, Juni Pili, 2017

    Jun 01, 2017 21:54

    Leo ni Ijumaa tarehe 7 Ramadhani, mwaka 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe Pili Juni, 2017 Miladia.

  • Jumanne, Mei 23, 2017

    Jumanne, Mei 23, 2017

    May 22, 2017 22:50

    Leo ni Jumanne tarehe 26 Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 23 Mei mwaka 2017 Miladia.

  • Wahajiri 7 wafa maji, 484 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    Wahajiri 7 wafa maji, 484 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    May 14, 2017 03:08

    Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri saba wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya 400 wakiokolewa katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya jana Jumamosi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS