Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Italia

  • Jumamosi, Aprili 29, 2017

    Jumamosi, Aprili 29, 2017

    Apr 28, 2017 21:59

    Leo ni Jumamosi tarehe Pili Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 29 Aprili 2017 Miladia.

  • Makabila ya kusini mwa Libya yatia saini makubaliano ya amani mjini Roma, Italia

    Makabila ya kusini mwa Libya yatia saini makubaliano ya amani mjini Roma, Italia

    Apr 03, 2017 00:10

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Italia imetangaza habari ya kutiwa saini makubaliano ya amani na makabila ya kusini mwa Libya mjini Roma, kwa lengo la kusimamia mpaka wa kusini mwa nchi hiyo wenye urefu wa kilometa 5000.

  • Wahajiri wengine 1,300 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    Wahajiri wengine 1,300 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    Feb 04, 2017 04:06

    Vikosi vya doria katika pwani ya Italia vimetangaza kuwa vimewaokoa wahajiri 1,300 katika bahari ya Mediterania.

  • Italia kuzisaidia kifedha nchi za Kiafrika ili ziwazuie wahajiri wasielekee Ulaya

    Italia kuzisaidia kifedha nchi za Kiafrika ili ziwazuie wahajiri wasielekee Ulaya

    Feb 01, 2017 23:22

    Italia imeanzisha mfuko wa fedha wa kuzisaidia nchi za Kiafrika ziimarishe zaidi mipaka yao ili kujaribu kuepusha wahajiri kusafiri kwa kutumia boti dhaifu na hatarishi za mipira kwa ajili ya kuelekea barani Ulaya.

  • Jumapili  11 Disemba, 2016

    Jumapili 11 Disemba, 2016

    Dec 11, 2016 04:47

    Leo Jumapili tarehe 11 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 11, 2016.

  • Italia: Tuna matumaini mgogoro wa Syria utatatuliwa

    Italia: Tuna matumaini mgogoro wa Syria utatatuliwa

    Dec 04, 2016 03:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesema kuwa, ana matumaini njia za kidiplomasia zitautatua mgogoro wa Syria.

  • Kasisi wa Italia: Ushoga na ndoa za watu wa jinsia moja zimesababisha mabalaa ya mitetemeko

    Kasisi wa Italia: Ushoga na ndoa za watu wa jinsia moja zimesababisha mabalaa ya mitetemeko

    Nov 07, 2016 11:25

    Kasisi mmoja wa Kanisa Katoliki la Italia amesema kuwa ndoa za watu wenye jinsia moja ndiyo sababu za maafa na mitetemeko mtawalia ya ardhi iliyotokea hivi karibuni nchini humo.

  • Italia yakanusha tuhuma za kuwatesa wahajiri wa Kiafrika

    Italia yakanusha tuhuma za kuwatesa wahajiri wa Kiafrika

    Nov 04, 2016 04:17

    Polisi ya Italia imepinga ripoti iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International kwamba, askari usalama wa nchi hiyo walitumia mabavu na mateso dhidi ya wakimbizi wa Kiafrika.

  • Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika fukwe za Libya

    Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika fukwe za Libya

    Sep 15, 2016 02:57

    Maafisa wa gadi ya ulinzi wa fukwe za Italia wametangaza habari ya kuokolewa amia ya wahajiri haramu katika fukwe za Libya.

  • Italia yatangaza maombolezo ya kitaifa baada ya tetemeko la ardhi; walioaga dunia wafikia 281

    Italia yatangaza maombolezo ya kitaifa baada ya tetemeko la ardhi; walioaga dunia wafikia 281

    Aug 27, 2016 03:22

    Serikali ya Italia imetangaza siku moja ya maombolezo ya kitaifa huku idadi ya wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Jumatano iliyopita ikiongezeka na kufikia 281.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS