Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Italia

  • Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi Italia yafikia watu 247

    Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi Italia yafikia watu 247

    Aug 25, 2016 03:38

    Huku timu za uokoaji zikiendelea na kazi ya kuwatafuta majeruhi na manusura wa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 kwa kipimo cha rishta lililotokea katikati mwa Italia, hadi sasa imethibitishwa kuwa watu wasiopungua 247 wamepoteza maisha katika janga hilo la kimaumbile.

  • Watu 37 wapoteza maisha katika tetemeko la ardhi Italia; idadi huenda ikaongezeka

    Watu 37 wapoteza maisha katika tetemeko la ardhi Italia; idadi huenda ikaongezeka

    Aug 24, 2016 03:12

    Watu 37 wanaripotiwa kuaga dunia nchini Italia kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo ingawa kuna uwezekano wa kuongezeka wahanga wa janga hilo la kimaumbile.

  • EU: Idadi ya wahajiri wanaoingia Italia imeongezeka kwa 12%

    EU: Idadi ya wahajiri wanaoingia Italia imeongezeka kwa 12%

    Aug 13, 2016 03:00

    Shirika la Umoja wa Ulaya la Frontex linaloshughulikia masuala ya mipaka limesema idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Italia imeongezeka kwa asilimia 12.

  • Miili 217 ya wahajiri yapatikana Italia

    Miili 217 ya wahajiri yapatikana Italia

    Jul 07, 2016 09:43

    Miili zaidi ya 200 ya wahajiri imepatika katika mabaki ya boti iliyozama katika Bahari ya Mediterranean Aprili mwaka jana 2015.

  • Misri yalalamikia hatua ya Italia ya kukata ushirikiano wake na Cairo

    Misri yalalamikia hatua ya Italia ya kukata ushirikiano wake na Cairo

    Jul 07, 2016 02:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya Italia ya kusimamisha ushirikiano wake na Cairo.

  • Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco

    Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco

    Jun 13, 2016 10:50

    Vyombo vya usalama nchini Morocco vimesema kuwa vimemtia nguvuni raia wa Italia anayeaminika kuwa na mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh.

  • Maelfu ya wakimbizi waokolewa katika Bahari ya Mediterranean

    Maelfu ya wakimbizi waokolewa katika Bahari ya Mediterranean

    Jun 09, 2016 23:32

    Gadi ya fukwe za bahari ya Italia imetangaza habari kwamba imewaokoa maelfu ya wakimbizi katika Bahari ya Mediterranean katika siku za Jumatano na Alkhamisi.

  • Waziri Mkuu wa Italia asisitiza kutekelezwa makubaliano na Iran

    Waziri Mkuu wa Italia asisitiza kutekelezwa makubaliano na Iran

    Apr 13, 2016 09:46

    Waziri Mkuu wa Italia ametilia mkazo kutekelezwa makubaliano yaliyosianiwa kati ya nchi yake na Iran.

  • Kiongozi: Marekani  inatoa misaada kwa magaidi

    Kiongozi: Marekani inatoa misaada kwa magaidi

    Apr 12, 2016 13:39

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.

  • Waziri Mkuu wa Italia atembelea Iran kuhuisha uhusiano

    Waziri Mkuu wa Italia atembelea Iran kuhuisha uhusiano

    Apr 12, 2016 11:35

    Rais Hassan Rouhani amesema kuwa Iran inataka kuona uhusiano wa kibiashara na Italia unafika kiwango kilichokuwepo kabla ya nchi hii kuwekewa vikwazo vya nyuklia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS