Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Italia

  • Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)

    Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)

    Aug 26, 2018 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ametangaza kuwa nchi hiyo imekata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya kufuatia kuendelea mivutano kati ya umoja huo na Italia kuhusu suala la wahajiri waliokwama katika meli ya gadi ya pwani ya Italia kwa jina la Diciotti (Dichuti).

  • Umoja wa Mataifa wataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa wahajiri barani Ulaya

    Umoja wa Mataifa wataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa wahajiri barani Ulaya

    Aug 25, 2018 09:20

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kutekeleza majukumu yao kuhusiana na wahajiri 150 wanaotangatanga katika meli ya Gadi ya Pwani ya Italia.

  • Italia yataka kutatuliwa haraka mgogoro wa wahajiri haramu waliokwama melini

    Italia yataka kutatuliwa haraka mgogoro wa wahajiri haramu waliokwama melini

    Aug 22, 2018 09:55

    Serikali ya Italia imetaka kutatuliwa suala la mamia ya wahajiri haramu waliokwama melini katika kisiwa cha Sicilian mjini Catania na kusema kuwa, viongozi wa nchi za Ulaya wanapaswa kuutatua haraka mgogoro huo.

  • Bunge la Libya lataka balozi wa Italia afukuzwe nchini humo

    Bunge la Libya lataka balozi wa Italia afukuzwe nchini humo

    Aug 09, 2018 23:29

    Bunge la Libya limemtuhumu balozi wa Italia mjini Tripoli kuwa anaingila masuala ya ndani ya nchi hiyo na kutaka afukuzwe mara moja.

  • Jumatano tarehe Mosi Agosti 2018

    Jumatano tarehe Mosi Agosti 2018

    Jul 31, 2018 22:20

    Leo ni Jumatano tarehe 18 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na tarehe Mosi Agosti 2018.

  • Italia yatahadharisha kuhusu kushamiri utumwa

    Italia yatahadharisha kuhusu kushamiri utumwa

    Jul 31, 2018 03:22

    Rais wa Italia ametahadharisha kuhusu kuzidi kushamiri tatizo la utumwa na magendo ya binadamu.

  • Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia

    Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia

    Jul 21, 2018 22:58

    Mtandao wa habari wa Algeria umefichua kuwa Ufaransa na Italia zinachuana vikali kuwania ngawira zaidi huko Libya na kwamba wakati mwingine mchuano huo unafikia kiwango cha mapigano na vita vya kisiasa.

  • Italia kutonunua tena ndege za kivita za F-35 kutoka Marekani

    Italia kutonunua tena ndege za kivita za F-35 kutoka Marekani

    Jul 07, 2018 03:31

    Katika kile kinachoonekana ni mgogoro katika uhusiano wa kijeshi wa Rome na Washington, Wizara ya Ulinzi ya Italia imesema haitanunua tena ndege za kivita aina ya F-35 za Marekani.

  • Jumamosi, Juni 2, 2018

    Jumamosi, Juni 2, 2018

    Jun 01, 2018 21:47

    Leo ni Jumamosi tarehe 17 Ramadhani mwaka 1439 Hijria, sawia na tarehe Pili Juni mwaka 2018 Miladia.

  • Wahajiri wa Nigeria waishtaki Italia kwa kukanyaga haki zao

    Wahajiri wa Nigeria waishtaki Italia kwa kukanyaga haki zao

    May 08, 2018 22:28

    Kundi la wahajiri raia wa Nigeria ambao ni manusura wa ajali za boti zilizoshuhudiwa mwaka jana wameifungulia mashitaka serikali ya Italia kwa kukiuka haki zao za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS