-
Zuma kushirikisha timu ya wanasheria baada ya kufukuzwa katika chama tawala cha ANC
Jul 29, 2024 12:50Chama cha uMkhonto weSizwe cha nchini Afrika Kusini kimesema kuwa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma, atashirikisha timu yake ya mawakili kumtetea kufuatia hatua ya chama tawala cha ANC ya kumfukuza chamani baada ya chombo kimoja cha habari nchini humo kuweka wazi waraka uliovuja.
-
Kesi ya ufisadi inayomkabili Zuma kuanza tena kusikilizwa katika kikao cha wazi
Aug 05, 2021 08:14Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma wiki ijayo ataruhusiwa kutoka jela ili kuhudhuria ana kwa ana katika kesi ya ufisadi ya muda mrefu inayomkabili na si kwa anjia ya video.
-
Waziri wa Sheria: Raisi wa zamani wa A. Kusini, Zuma anaweza kuachiwa huru baada ya miezi 4
Jul 09, 2021 07:23Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kuachiliwa huru kutoka gerezani baada ya miezi minne. Hayo yalisema jana na Waziri wa Sheria wa Afrika Kusini, siku moja baada ya kiongozi huyo wa zamani kuwashangaza wafuasi wake kwa kujisalimisha kwa polisi na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15.
-
Thales yakata rufaa katika kesi ya ufisadi ya Zuma huko Afrika Kusini
Nov 05, 2019 14:11Kampuni ya kuuza silaha ya Thales ya Ufaransa imetangza kuwa, itaitaka Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini ruhusa ya kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa mwezi uliopita wa Oktoba iliyokataa kusitishwa kabisa kesi ya kula rushwa inayomkabili rais wa zamani wan chi hiyo, Jacob Zuma.
-
Kesi ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma yaendelea
Oct 15, 2019 13:30Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema atakata rufaa kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kukataa kuzuia daima mashtaka dhidi yake katika kesi ya ufisadi katika mauzo ya silaha zilizokuwa na thamani ya dola bilioni mbili.
-
Kulazimishwa kujiuzulu Jacob Zuma kumezusha mgogoro wa kisiasa Afrika Kusini
Apr 07, 2018 15:56Kitendo cha kulazimishwa Jacob Zuma kujiuzulu urais kabla ya kumalizika muda wake huko Afrika Kusini si tu kimekiathiri chama tawala cha ANC, lakini pia kimezusha mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu
Feb 13, 2018 08:05Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini (rand) imeporomoka baada ya chama tawala nchini humo ANC kutishia kuwa kitamuondoa ofisini kwa nguvu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Hotuba ya Rais Zuma katika Bunge la Afrika Kusini yaakhirishwa
Feb 07, 2018 02:35Spika wa Bunge la Afrika Kusini Baleka Mbete amesema hotuba ya kila mwaka ya rais kuhusu hali ya nchi, imeakhirishwa kutokana na mashinikizo anayokabiliana nayo Rais Jacob Zuma.
-
Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili
Oct 24, 2017 14:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini mjini Pretoria.
-
Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma
Sep 27, 2017 14:13Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika mji wa Cape Town kudhihirisha ghadhabu zao kutokana na kashfa mbalimbali za ufisadi, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.