-
Serikali Afrika Kusini kuchukua udhibiti wa ardhi bila kutoa fidia
Jul 06, 2017 04:07Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema kuna pendekezo la kuiwezesha serikali ya nchi hiyo kuchukua udhibiti wa ardhi pasina kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi hiyo.
-
Afrika Kusini kuomba msaada wa nje kuunusuru uchumi
Jul 01, 2017 03:37Afrika Kusini imetangaza kuwa huenda ikahitajia misaada ya kifedha kutoka nje ya nchi ili kuunusuru uchumi wa nchi hiyo unaoyumbayumba.
-
Rais Jackob Zuma wa Afrika Kusini akanusha kumiliki kasri Dubai
Jun 05, 2017 06:39Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekanusha madai ya kumiliki kasri katika Umoja wa Falme za Kiarabu au Imarati.
-
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ataka Rais Zuma achunguzwe
Apr 24, 2017 08:19Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema anaunga mkono kufanyika uchunguzi kuhusu madai ya ufisadi yanaoizunguka serikali ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Naibu wa Zuma amtaka asikilize matakwa ya waandamanaji
Apr 17, 2017 14:02Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema viongozi wanapaswa kuwasikiliza waandamanaji nchini humo ambao wanamtaka Rais Jacob Zuma ajiuzulu au aondolewe madarakani baada ya mabadiliko yake ya baraza la mawaziri kupelekea nchi hiyo kushushwa kiwango cha kiuchumi.
-
Wabunge wa ANC kumuunga mkono Zuma katika kura ya kutokuwa na imani naye
Apr 06, 2017 14:35Wabunge wa chama tawala cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini wametangaza kuwa, watapinga hoja ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma katika Bunge la nchi hiyo iliyopangwa kuwasilishwa bungeni Aprili 18.
-
Muungano wa vyama vya wafanyakazi Afrika Kusini wamtaka Zuma ajiuzulu
Apr 05, 2017 04:10Shirikisho Kuu la Vyama vya Wafanyakazi Afrika Kusini (Cosatu) limemtaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo aachie ngazi likisisitiza kuwa mwanasiasa huyo amepoteza itibari na uwezo wa kuliongoza taifa.
-
Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 09, 2017 16:22Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametoa ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Iran na Spika Mstaafu wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Ban Ki-moon aiomba Afrika Kusini isijiondoe ICC
Nov 01, 2016 02:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amempigia simu Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na kumsihi afute uamuzi wa nchi hiyo kujiondoa ICC.
-
Zuma alalamikia kutusiwa na vyama vya upinzani bungeni
Sep 14, 2016 03:25Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amelalamikia kitendo cha vyama vya upinzani nchini humo cha kumtusi mara anapokuwa akihutubia bungeni na kumtaka Spika wa Bunge achukue hatua kukomesha jambo hilo.