-
Maandamano dhidi ya Zuma mbele ya makao makuu ya ANC
Sep 05, 2016 14:12Wanachama wa chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) leo Jumatatu wamepiga nara na shaari nje ya makao makuu ya chama hicho wakimtaka Rais Jacob Zuma ajiuzulu.
-
Rufaa ya Zuma kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake yakataliwa
Jun 24, 2016 14:44Mahakama Kuu mjini Pretoria nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ya kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake, hatua ambayo ni pigo kwa rais huyo ambaye anakabiliwa na mashinikizo ya kujiuzulu kutoka viongozi wa upinzani.
-
Zuma akata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake
Jun 10, 2016 14:06Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuagiza kufufuliwa kesi zaidi ya 700 za ufisadi wa kifedha dhidi yake.
-
Rais wa Afrika Kusini akata rufaa juu ya kesi za ufisadi dhidi yake
May 24, 2016 16:20Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa atakata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake.
-
Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma
May 17, 2016 14:37Kwa mara nyingine tena, Bunge la Afrika Kusini limegeuka na kuwa ukumbi wa mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Wabunge wa Afrika Kusini watandikana juu ya hotuba ya Zuma
May 05, 2016 02:46Bunge la Afrika Kusini jana Jumatano liligeuka na kuwa ukumbi wa mieleka huku wabunge wa upinzani wakizusha fujo kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma juu ya bajeti.
-
Waandamanaji Afrika Kusini wamtaka Rais Zuma ajiuzulu
Apr 28, 2016 04:07Wapinzani nchini Afrika Kusini wameitisha maandamano ya kumshinikiza Rais Jacob Zuma ajiuzulu.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Rais wa Afrika Kusini
Apr 25, 2016 13:23Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye Jumapili aliwasili Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu alikutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na Afrika Kusini
Apr 24, 2016 16:59Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran walisimama bega kwa bega na kuwaunga mkono wazalendo wa Afrika Kusini wakati wakipambana na utawala wa makaburuwabaguzi wa rangi.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran leo
Apr 23, 2016 04:20Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.