-
UN: Raia sita wauawa katika shambulio la waasi kaskazini mwa CAR
Aug 01, 2021 03:34Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu sita wameuawa katika shambulio la waasi wanaobeba silaha kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Raia 13 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jul 23, 2021 03:15Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuuawa raia wasiopungua 13 katika shambulio la wabeba silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
7 wauawa baada ya waasi kushambulia kambi za jeshi CAR
Jul 01, 2021 03:08Watu wasiopungua saba wameuawa katika msururu wa mashambulio ya genge moja la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Russia yakanusha kuhusika wakufunzi wake wa kijeshi na mauaji huko CAR
Jun 29, 2021 06:51Ikulu ya Russia (Kremlin) imekanusha madai kwamba wakufunzi wa kijeshi wa nchi hiyo waliopo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wamehusika katika mauaji ya raia na kupora mali za watu majumbani.
-
UN yakosoa mienendo ya vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 17, 2021 02:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewakosoa vikali maafisa usalama wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, kwa kile alichokitaja kuwa kushtadi mienendo ya kiuhasama na vitisho dhidi ya askari wa kulinda amani wa umoja huo nchini humo.
-
Serikali ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati yajiuzulu
Jun 11, 2021 03:20Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Firmin Ngrébada ametangaza kujiuzulu yeye pamoja na serikali yake.
-
UN: Kuna ongezeko la hatari kwa watoto nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 28, 2021 03:30Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, amesema watoto 370,000 kwa sasa ni wakimbizi wa ndani nchini kote kwa sababu ya vurugu zinazoendelea na ukosefu wa usalama.
-
AU yashtushwa na machafuko ya baada ya uchaguzi CAR
Feb 21, 2021 04:15Umoja wa Afrika umeeleza wasi wasi wake kutokana na kushtadi machafuko ya baada ya uchaguzi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Usalama umerejea katika mji wa Bangassou Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 05, 2021 03:49Shughuli za kibiashara zimerejea tena katika mji wa Bangassou, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR baada ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wa ujumbe wa umoja huo nchini humo, MINUSCA kuimarisha doria ili kudhibiti vitisho vyovyote kutoka kwa waasi waliosababisha maelfu ya watu kukimbia makwao kufuatia mashambulizi ya mwezi uliopita wa Januari.
-
Machafuko ya uchaguzi yafanya laki 2 wawe wakimbizi CAR
Jan 30, 2021 04:32Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema watu zaidi ya 200,000 wamefurushwa au wamelazimika kuyahama makazi yao katika kipindi cha miezi miwili iliyopita kutokana na machafuko ya uchaguzi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.