Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Afrika ya Kati

  • UN: Watu milioni 2 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula CAR

    UN: Watu milioni 2 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula CAR

    Nov 08, 2018 12:19

    Mpango wa Chakula Duniani WFP umesema watu milioni mbili wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura wa chakula huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • António Guterres asisitiza umuhimu wa kuimarishwa nafasi ya askari wa Umoja wa Mataifa katika kurejesha usalama nchini CAR

    António Guterres asisitiza umuhimu wa kuimarishwa nafasi ya askari wa Umoja wa Mataifa katika kurejesha usalama nchini CAR

    Oct 23, 2018 23:21

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ameutaka umoja huo kuimarisha nafasi yake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • UN: Hali ya raia CAR inatia wasiwasi

    UN: Hali ya raia CAR inatia wasiwasi

    Sep 04, 2018 02:19

    Ofisi ya huduma za misada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeripoti kuwa hali ya wakazi wa mji wa Alindao huko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ni mbaya sana kutokana na mapigano yanayoendelea baina ya makundi ya waasi katika eneo hilo.

  • Russia yasaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi  na Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Russia yasaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi na Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Aug 21, 2018 09:12

    Russia na Jamhuri ya Afrika ya Kati leo Jumanne zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi yanayofungua njia kwa Moscow ya kuendelea kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Baraza la Usalama lalaani vitendo vya mabavu dhidi wasimamia amani CAR

    Baraza la Usalama lalaani vitendo vya mabavu dhidi wasimamia amani CAR

    Aug 11, 2018 22:05

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani kuongezeka mashambulio na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya kikosi cha kusimamia amani cha UN katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, MINUSCA.

  • Uchunguzi kuhusu mauaji ya wanahabari Warussia nchini CAR

    Uchunguzi kuhusu mauaji ya wanahabari Warussia nchini CAR

    Aug 03, 2018 20:56

    Uchunguzi umeanzishwa kuhusu mauaji ya waandishi wa habari watatu raia wa Russia ambao walikwenda Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kuchunguza suala la kuwepo kitengo cha askari mamluki wa Wagner.

  • Wanamgambo wa Bemba washtakiwa CAR + Sauti

    Wanamgambo wa Bemba washtakiwa CAR + Sauti

    Jun 11, 2018 11:01

    Wahanga wa mashambulizi ya wanamgambo wa Jean Pierre Bemba huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameamua kufungua kesi dhidi ya makamanda wa kundi hilo pamoja na Jenerali mmoja wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC. Maelezo zaidi yamo ndani ya ripoti ya mwandishi wetu Mossi Mwasi.

  • UN yalaani mauaji ya mlinda amani wake Mtanzania katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    UN yalaani mauaji ya mlinda amani wake Mtanzania katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jun 05, 2018 02:50

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani mauaji ya mlinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • MINUSCA yatuhumiwa kuua raia 16 Jamhuri ya Afrika ya Kati (RIPOTI)

    MINUSCA yatuhumiwa kuua raia 16 Jamhuri ya Afrika ya Kati (RIPOTI)

    Jun 01, 2018 11:15

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya kati MINUSCA kimelaumiwa na wapiganaji wa Seleka, kwa kuua watu 16 katika mji wa Bambari, ulioko mashariki mwa mji mkuu Bangui, mpakani na Uganda.

  • SAUTI, Bunge lapitisha muswada wa sheria ya kuruhusu kuanza shughuli za Mahakama ya Jinai nchini humo

    SAUTI, Bunge lapitisha muswada wa sheria ya kuruhusu kuanza shughuli za Mahakama ya Jinai nchini humo

    May 30, 2018 11:34

    Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kati limepitisha muswada ambao kwa mujibu wake utaruhusu kuanza kufanya kazi kwa mahakama maalumu ya jinai nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS