Wanamgambo wa Bemba washtakiwa CAR + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45722-wanamgambo_wa_bemba_washtakiwa_car_sauti
Wahanga wa mashambulizi ya wanamgambo wa Jean Pierre Bemba huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameamua kufungua kesi dhidi ya makamanda wa kundi hilo pamoja na Jenerali mmoja wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC. Maelezo zaidi yamo ndani ya ripoti ya mwandishi wetu Mossi Mwasi.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 11, 2018 11:01 UTC