-
UN: Migogoro yaifanya robo ya wananchi wa CAR kuwa wakimbizi
May 30, 2018 03:22Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imesema mapigano na migogoro imeifanya asilimia 25 ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.
-
Tahadhari ya UN kuhusu mapigano zaidi CAR
May 09, 2018 09:44Ghasia zinazidi kupamba moto nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR jambo ambalo linamtia hofu kubwa Kamishna Mkuu wa haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, Zeid Ra’ad Al Hussein
-
Papa Francis atoa wito wa kusitishwa machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 06, 2018 22:27Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa wito wa kukomeshwa mapigano, machafuko pamoja na vitendo vya utumiaji mabavu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN yaunga mkono juhudi za kudumisha utulivu Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti
Apr 11, 2018 09:15Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaunga mkono juhudi za kuleta utulivu na amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Waandamanaji CAR waweka maiti mbele ofisi ya Umoja wa Mataifa Bangui
Apr 11, 2018 09:09Mamia ya waandamanaji waliokuwa na hasira leo Jumatano wameweka maiti za watu wasiopungua tisa waliuawa katika mapigano katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati mbele ya makao makuu ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa, mjini Bangui.
-
Wanamgambo wa Kikristo watekeleza mauaji mapya Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 04, 2018 02:56Wanamgambo wa Kikristo walivamia kituo cha askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati mapema Jumatatu na kuua askari mmoja na kuwajeruhi wengine 11.
-
Wanamgambo wenye silaha wafanya ubakaji mkubwa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 09, 2018 12:55Wanamgambo wenye silaha mwezi uliopita waliwashambulia, kuwateka nyara na kubaka kwa umati kundi kubwa la wanawake katika eneo moja lililotengwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Hayo yameelezwa na Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF).
-
Mapigano yasababisha maelfu kukimbia makazi yao CAR
Feb 09, 2018 22:05Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu ICRC imesema maelfu ya watu wamelazimika kukimbia na kuacha makazi yao, kutoka na kushtadi mapigano kati ya makundi hasimu ya waasi huko kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN: Watu laki moja wanahitajia msaada Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 17, 2018 01:02Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema takriban watu laki moja wanahitajia msaada katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Indhari ya UN kuhusu hali mbaya ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati
Dec 23, 2017 11:41Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuhusu hali mbaya ya usalama katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.