Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Mahakama ya Nigeria yawatia hatiani wanamgambo 125 wa kundi la kigaidi la Boko Haram

    Mahakama ya Nigeria yawatia hatiani wanamgambo 125 wa kundi la kigaidi la Boko Haram

    Jul 28, 2024 23:03

    Mahakama nchini Nigeria imewatia hatiani wanamgambo 125 wa kundi la kigaidi la Boko Haram na wafadhili wa kifedha wa msururu wa makosa yanayohusiana na ugaidi.

  • DRC yamuita balozi wa Uganda kujadili tuhuma za kuunga mkono M23

    DRC yamuita balozi wa Uganda kujadili tuhuma za kuunga mkono M23

    Jul 21, 2024 07:32

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuita balozi mdogo wa Uganda nchini humo, baada ya Umoja wa Mataifa kusema katika ripoti yake kwamba, jeshi la Uganda limewauga mkono waasi wa M23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa DRC.

  • Mapigano baina ya jeshi na wanamgambo yaua watu 50 DRC

    Mapigano baina ya jeshi na wanamgambo yaua watu 50 DRC

    Jul 16, 2024 03:49

    Watu zaidi ya 50 wameripotiwa kuuawa katika mapigano makali baina ya askari wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi moja la wanamgambo magharibi mwa nchi.

  • DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda

    DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda

    Jul 14, 2024 03:18

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) huenda kikalazimika kuakhirisha mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake katika mkoa unaokumbwa na vita wa Kivu Kaskazini kutokana na kuwepo kwa askari wa Rwanda mashariki mwa DRC.

  • Raia 6 wa China na askari 2 wa DRC wauawa mkoani Ituri

    Raia 6 wa China na askari 2 wa DRC wauawa mkoani Ituri

    Jul 04, 2024 22:46

    Waasi wa kundi la CODECO wameshambulia mgodi unaohusishwa na China katika jimbo lenye utajiri mkubwa wa dhahabu la Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua raia sita wa China wa wanajeshi wawili wa Kongo.

  • Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo kwa kumkimbia adui

    Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo kwa kumkimbia adui

    Jul 04, 2024 03:14

    Jumla ya washtakiwa 31, wakiwemo wanajeshi 27 na wake zao wanne ambao ni raia wa kawaida wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi ya Butembo katika mkoa wa Kivu Kaskazini, karibu na mstari wa mbele wa vita kwa "kutoroka vitani na kumpa nafasi adui".

  • Waasi wa Codeco wauwa raia zaidi ya 20 katika jimbo la Ituri, Kongo

    Waasi wa Codeco wauwa raia zaidi ya 20 katika jimbo la Ituri, Kongo

    Jun 23, 2024 04:10

    Waasi kwa jina la Codeco wanatuhumiwa kuua raia zaidi ya 20 katika kijiji kimoja katika jimbo tajiri kwa madini ya dhahabu la Ituri kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu 80 wakufa maji katika ajali ya boti magharibi ya DRC

    Watu 80 wakufa maji katika ajali ya boti magharibi ya DRC

    Jun 13, 2024 04:11

    Watu zaidi ya 80 wameripotiwa kuaga dunia baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupinduka na kuzama kwenye maji ya Mto Kwa, magharibi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kutumia sarafu ya dola

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kutumia sarafu ya dola

    Jun 08, 2024 04:11

    Benki Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetoa agizo la kupunguza matumizi ya dola ya Marekani katika miamala ya sasa ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini humo.

  • Wamarekani 3 kizimbani wakihusishwa na jaribio la mapinduzi DRC

    Wamarekani 3 kizimbani wakihusishwa na jaribio la mapinduzi DRC

    Jun 06, 2024 23:16

    Raia watatu wa Marekani na mmoja wa Uingereza ni miongoni mwa makumi ya watu wanaotazamiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Ijumaa, wakituhumiwa kuhusika na jaribio la mapinduzi katika nchi hiyo ya katikati mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS