-
26 wauawa katika shambulizi la magaidi Oicha, mashariki ya DRC
Oct 24, 2023 10:24Genge moja linaloaminika kuwa la kigaidi limefanya mashambulizi na kuua makumi ya watu katika mji wa Oicha, mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Askari 8 wa Umoja wa Mataifa wakamatwa DRC kwa tuhuma za ubakaji
Oct 13, 2023 03:42Askari wanane wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) wamekamatwa na kuzuiliwa kwa tuhuma za kuhusika na ubakaji na udhalilishaji wa kingono.
-
Moise Katumbi kugombea urais Kongo DR mwezi Disemba
Oct 04, 2023 23:46Millionea na mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Moise Katumbi amewasilisha jina lake kwa ajili ya kugombea urais nchini humo.
-
Kanali Mikombe wa jeshi la DRC ahukumiwa kunyongwa
Oct 03, 2023 23:39Kanali Mike Mikombe, kamanda wa zamani wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifo kutokana na nafasi yake kwenye mauaji ya makumi ya raia waliokuwa wakiandamana dhidi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa.
-
Kiongozi wa upinzani nchini DRC, Fayulu, amethibitisha kuwa atawania kiti cha urais
Oct 01, 2023 03:44Kiongozi mwandamizi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Martin Fayulu, alithibitisha jana Jumamosi mjini Kinshasa kwamba atagombea katika uchaguzi wa rais wa Desemba 20.
-
Gurunedi aina ya RPG ladondokea kimakosa kwenye uwanja wa michezo Kongo DR
Sep 30, 2023 03:26Mtu mmoja ameuawa wakati gurunedi aina ya RPG lilipoangukia kimakosa katika uwanja wa michezo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Hamas: Congo DR inapaswa kuangalia upya uamuzi wa kuhamishia ubalozi wake Quds
Sep 24, 2023 02:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem) na kutaka kuangaliwa upya uamuzi huo.
-
Wakimbizi wa ndani 60 wakiwemo watoto 33 wafa njaa DRC
Sep 23, 2023 04:13Wakimbizi wa ndani zaidi ya 60 wakiwemo watoto wadogo 33 wamepoteza maisha kutokana na njaa katika mkoa wa Kwilu, katikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Netanyahu: DRC itahamishia ubalozi wake Quds kutoka Tel Aviv
Sep 23, 2023 00:35Waziri wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo karibuni itauhamishia ubalozi wake mjini Quds (Jerusalem) kutoka Tel Aviv.
-
Kikosi cha EAC nchini Kongo DR chaongezwa muda wa kuhudumu
Sep 06, 2023 07:04Jumuiya ya Afrika Mashariki imekiongeza muda wa kuhudumu kikosi cha kikanda cha jumuiya hiyo (EACRF), chenye jukumu la kukomesha mapigano na kuzima uasi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.