Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • UN hatimaye yakubali kuondoa askari wake DRC baada ya miongo 2

    UN hatimaye yakubali kuondoa askari wake DRC baada ya miongo 2

    Nov 22, 2023 23:36

    Umoja wa Mataifa umesaini makubaliano na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu kuondoka kwa ujumbe wa umoja huo wa kulinda amani nchini humo (MONUSCO).

  • Kampeni za uchaguzi wa rais zang'oa nanga Kongo DR

    Kampeni za uchaguzi wa rais zang'oa nanga Kongo DR

    Nov 19, 2023 10:16

    Makumi ya maelfu ya wagombea wa viti mbalimbali wakiwemo wagombea 26 wa kiti cha rais katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamezindua rasmi kampeni za uchaguzi huo leo Jumapili.

  • Viongozi wa SADC wanakutana Angola leo kujadili amani Congo DR

    Viongozi wa SADC wanakutana Angola leo kujadili amani Congo DR

    Nov 04, 2023 00:46

    Viongozi wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanakutana leo jijini Luanda huko Agola, katika mkutano wa dharura unaojadili juhudi za jumuiya hiyo katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DEC).

  • 26 wauawa katika shambulizi la magaidi Oicha, mashariki ya DRC

    26 wauawa katika shambulizi la magaidi Oicha, mashariki ya DRC

    Oct 24, 2023 10:24

    Genge moja linaloaminika kuwa la kigaidi limefanya mashambulizi na kuua makumi ya watu katika mji wa Oicha, mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Askari 8 wa Umoja wa Mataifa wakamatwa DRC kwa tuhuma za ubakaji

    Askari 8 wa Umoja wa Mataifa wakamatwa DRC kwa tuhuma za ubakaji

    Oct 13, 2023 03:42

    Askari wanane wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) wamekamatwa na kuzuiliwa kwa tuhuma za kuhusika na ubakaji na udhalilishaji wa kingono.

  • Moise Katumbi kugombea urais Kongo DR mwezi Disemba

    Moise Katumbi kugombea urais Kongo DR mwezi Disemba

    Oct 04, 2023 23:46

    Millionea na mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Moise Katumbi amewasilisha jina lake kwa ajili ya kugombea urais nchini humo.

  • Kanali Mikombe wa jeshi la DRC ahukumiwa kunyongwa

    Kanali Mikombe wa jeshi la DRC ahukumiwa kunyongwa

    Oct 03, 2023 23:39

    Kanali Mike Mikombe, kamanda wa zamani wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifo kutokana na nafasi yake kwenye mauaji ya makumi ya raia waliokuwa wakiandamana dhidi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa.

  • Kiongozi wa upinzani nchini DRC, Fayulu, amethibitisha kuwa atawania kiti cha urais

    Kiongozi wa upinzani nchini DRC, Fayulu, amethibitisha kuwa atawania kiti cha urais

    Oct 01, 2023 03:44

    Kiongozi mwandamizi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Martin Fayulu, alithibitisha jana Jumamosi mjini Kinshasa kwamba atagombea katika uchaguzi wa rais wa Desemba 20.

  • Gurunedi aina ya RPG ladondokea kimakosa kwenye uwanja wa michezo Kongo DR

    Gurunedi aina ya RPG ladondokea kimakosa kwenye uwanja wa michezo Kongo DR

    Sep 30, 2023 03:26

    Mtu mmoja ameuawa wakati gurunedi aina ya RPG lilipoangukia kimakosa katika uwanja wa michezo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  •  Hamas: Congo DR inapaswa kuangalia upya uamuzi wa kuhamishia ubalozi wake Quds

    Hamas: Congo DR inapaswa kuangalia upya uamuzi wa kuhamishia ubalozi wake Quds

    Sep 24, 2023 02:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem) na kutaka kuangaliwa upya uamuzi huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS