-
Matumaini ya kupatikana suluhisho la kisiasa baina ya serikali ya Kongo DR na M23 yaongezeka
Aug 19, 2025 03:04Matarajio ya kufikiwa suluhisho la amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yameongeka baada ya miongo kadhaa ya vita vya kikatili mashariki mwa nchi hiyo.
-
Qatar: Tumezikabidhi DRC, M23 rasimu ya makubaliano ya amani
Aug 18, 2025 06:44Qatar imetangaza habari ya kukabidhi rasimu ya makubaliano ya amani kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa amani unaoendelea Doha, vyombo vya habari vya DRC viliripoti hayo jana Jumapili, vikimnukuu afisa wa Qatar.
-
DRC yapinga kupelekwa balozi mdogo wa Kenya mjini Goma
Aug 17, 2025 11:37Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepinga hatua ya Kenya ya kumteua balozi mdogo anayetazamiwa kutumwa katika mji wa Goma ulioko mashariki mwa DRC, ikiuelezea uamuzi huo kuwa "usiofaa".
-
Waasi wa M23 wateka vijiji viwili Kongo na kuhatarisha makubaliano ya Doha
Jul 30, 2025 07:50Waasi wa M23 wameteka vijiji viwili katika eneo la Masisi katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, licha ya makubaliano ya amani waliyosainiwa hivi karibuni huko Qatar.
-
Rwanda: Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya M23 na DRC ni "hatua muhimu"
Jul 20, 2025 07:56Rwanda jana ilipongeza kutiwa saini mjini Doha kwa tamko la kanuni kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na muungano wa makundi mbalimbali ya waasi unaolijumuisha kundi la waasi la M23 na kulitaja kuwa ni hatua muhimu kuelekea katika utatuzi wa amani wa mzozo wa mashariki mwa Kongo.
-
Wawakilishi wa Serikali ya DRC na M23 wawasili Qatar kwa mazungumzo
Jul 10, 2025 06:13Wawakilishi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la M23 wamewasili katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa mazungumzo mapana kuhusu makubaliano. Hayo yameelezwa na mwanadiplomasia mmoja anayefahamu yanayojiri kuhusu mazungumzo hayo.
-
Rais wa Kongo DR ataka haki itendeke mkabala wa jinai zilizotekelezwa mashariki mwa nchi hiyo
Jul 01, 2025 12:26Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameeleza kuwa serikali yake itaendelea kuwa imara katika kudai haki za wahanga wa jinai zilizofanywa mashariki mwa nchi hiyo, licha ya makubaliano ya amani yaliyotiwa saini hivi karibuni kati ya nchi hiyo na Rwanda.
-
Jumatatu, 30 Juni, 2025
Jun 30, 2025 02:15Leo ni Jumatatu 04 Mfunguo Nne Muharram 1447 Hijria mwafaka na 30 Juni 2025.
-
Waliokufa maji katika ajali za boti 2 DRC wapindukia 50
Jun 14, 2025 07:03Watu wasiopungua 52 wamethibitishwa kufariki dunia huku wengine kadhaa wakitoweka baada ya boti mbili za abiria kuzama kwenye maji ya Ziwa Tumba, magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kabila: Mfumo wa sheria wa DRC unavunda
May 24, 2025 07:47Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila jana Ijumaa ameshutumu vikali mfumo wa sheria wa nchi hiyo ya Afrika ya Kati, akisema kuwa umeoza kutokana na uendeshaji mbaya.