Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Takriban watu 11 wameuawa na 65 kujeruhiwa katika milipuko 2 kwenye maandamano ya M23 huko Bukavu

    Takriban watu 11 wameuawa na 65 kujeruhiwa katika milipuko 2 kwenye maandamano ya M23 huko Bukavu

    Feb 28, 2025 07:34

    Mabomu mawili yalilipuka siku ya jana Alhamisi kwenye maandamano ya waasi wa M23 huko Bukavu, mji uliotekwa na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuua takriban watu 11 na kujeruhi 65.

  • Mgogoro mashariki mwa DRC waathiri zaidi ya wanafunzi milioni 1

    Mgogoro mashariki mwa DRC waathiri zaidi ya wanafunzi milioni 1

    Feb 27, 2025 11:02

    Kuongezeka kwa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo waasi wa M23 wameshadidisha mashambulizi dhidi ya vikosi vya serikali, kumesababisha shule 2,594 kufungwa.

  • Hujuma za waasi mashariki mwa Kongo zimeuwa watu 7,000 mwaka huu

    Hujuma za waasi mashariki mwa Kongo zimeuwa watu 7,000 mwaka huu

    Feb 25, 2025 02:30

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa watu zaidi ya elfu saba wameuawa mwaka huu wakati waasi wa kundi la M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakiteka miji kadhaa katika eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa Kongo.

  • Rais Tshisekedi anapanga kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

    Rais Tshisekedi anapanga kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

    Feb 24, 2025 03:04

    Rais wa Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anatazamiwa kuzindua serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo. Tina Salama, msemaji wa Ofisi ya Rais wa Kongo amesema, Rais Tshisekedi ataunda serikali ya umoja wa kitaifa na kufanya mabadiliko ya uongozi katika muungano tawala wa nchi hiyo.

  • Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake

    Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake

    Feb 22, 2025 11:58

    Bunge la Rwanda limekosoa vikali azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya, likidai kuwa Rwanda linahusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Waasi wa M23 waingia Bukavu baada ya kutwaa uwanja wa ndege

    Waasi wa M23 waingia Bukavu baada ya kutwaa uwanja wa ndege

    Feb 15, 2025 07:12

    Waasi wa M23 wametangaza habari ya kuingia katika jiji la Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Ugonjwa 'usiojulikana' waua makumi ya watu DRC; mapigano yanaendelea

    Ugonjwa 'usiojulikana' waua makumi ya watu DRC; mapigano yanaendelea

    Feb 14, 2025 12:10

    Ugonjwa usiojulikana umeua watu zaidi ya 50 katika eneo la Bansakusu, jimbo la Equateur, magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • UN: Maelfu ya raia Kongo wahama makazi yao baada ya M23 kutoa muhula wa masaa 72

    UN: Maelfu ya raia Kongo wahama makazi yao baada ya M23 kutoa muhula wa masaa 72

    Feb 12, 2025 09:20

    Waasi wa M23 wanaodhibiti miji ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefunga kwa nguvu kambi za makazi za raia na kuwalazimisha zaidi ya watu 110,000 kuhama makazi yao katika siku za hivi karibuni. Haya yameelezwa na Umoja wa Mataifa.

  • Bunge la Afrika Mashariki lasimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kwa sababu za kifedha

    Bunge la Afrika Mashariki lasimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kwa sababu za kifedha

    Feb 10, 2025 07:00

    Bunge la nchi za Afrika Mashariki, EALA limetangaza kuwa limesimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha, zilizosababishwa na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao ya fedha.

  • Jumuiya za SADC na EAC zataka kusitishwa mapigano Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Jumuiya za SADC na EAC zataka kusitishwa mapigano Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Feb 09, 2025 03:25

    Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya nchi za kusini mwa Afrika, SADC wametoa mwito wa kusitishwa mara moja mapigano mashariki mwa Jamhuuri ya Kidemokkrasia ya Congo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS