Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Japan

  • Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia

    Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia

    Dec 17, 2019 04:44

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani

    Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani

    Nov 17, 2019 09:57

    Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Oct 24, 2019 13:11

    Waziri Mkuu wa Japan ametoa mwito kwa nchi zote husika kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.

  • Kimbunga Hagibis chaua watu 36 nchini Japan

    Kimbunga Hagibis chaua watu 36 nchini Japan

    Oct 14, 2019 04:22

    Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kimbunga Hagibis mashariki na katikati mwa Japan imeongezeka na kufikia 36.

  • Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wakutana Japan pembizoni mwa kikao cha TICAD

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wakutana Japan pembizoni mwa kikao cha TICAD

    Aug 28, 2019 02:47

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wamekutana nchini Japan na kujadili matukio ya hivi karibuni nchini Libya na eneo zima la Afrika Kaskazini.

  • Jumatatu, 29 Julai, 2019

    Jumatatu, 29 Julai, 2019

    Jul 28, 2019 23:46

    Leo ni Jumatatu tarehe 26 Dhulqaada 1440 Hijria swa na Julai 29 mwaka 2019

  • Hitilafu za Marekani na wanachama wa G20 zagubika mkutano wa kundi hilo, Japan

    Hitilafu za Marekani na wanachama wa G20 zagubika mkutano wa kundi hilo, Japan

    Jun 28, 2019 02:01

    Viongozi wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani wanakutana leo katika mji wa Osaka nchini Japan huku wingu kubwa la hitilafu na mivutano kati ya Marekani na baadhi ya wanachama wa kundi hilo likigubika ajenda ya mkutano huo.

  • Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya

    Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya

    Jun 13, 2019 02:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan ameyataja mazungumzo ya Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abe Shinzō kuwa yalikuwa chanya na yenye faida.

  • Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan

    Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan

    Jun 12, 2019 23:38

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hamu iliyodhihirishwa na Japan ya kutaka kuwekeza katika maeneo ya kusini mwa Iran inadhamini suala la kustawisha uhusiano kati ya nchi mbili.

  • Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 10, 2019 07:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS