-
Iran: Marekani ikhitari diplomasia badala ya mashinikizo na vitisho
Dec 20, 2022 04:18Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema iwapo Marekani inataka kweli kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, haina chaguo jingine isipokuwa kukhitari njia ya diplomasia badala ya mashinikizo, vitisho na makabiliano.
-
Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3
Nov 27, 2022 09:28Baada ya Iran na nchi zilizounda kundi la 5+1 kufikia mwafaka Julai 2015 juu ya kadhia ya nyuklia ya Iran na kusaini Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi JCPOA, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani, -iwe ni baada ya kuanza kutekelezwa JCPOA mnamo mwaka 2016 au baada ya kujitoa Marekani kwenye makubaliano hayo Mei 2018, na hata katika kipindi cha sasa kufuatia duru kadhaa za mazungumzo ya Vienna ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu-
-
Alkhamisi tarehe 24 Novemba 2022
Nov 23, 2022 22:52Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiuthani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 24 Novemba 2022.
-
Iran yaitaka Marekani iache unafiki katika mazungumzo ya JCPOA
Nov 17, 2022 03:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ipo mbioni kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwa msingi huo amewaasa viongozi wa nchi hiyo na timu ya wapatanishi wa Washington katika mazungumzo hayo kuweka pembeni unafiki.
-
Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran
Oct 15, 2022 00:10Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, amekiri kwamba utawala wa Joe Biden sasa umejikita kwenye machafuko na ghasia nchini Iran huku akiiishutumu Tehran kuwa haiko tayari kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mbali na kukiri huko, imekuwa ikifahamika wazi kimataifa kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Abdollahian: Hatua za kuondolewa Iran vikwazo zipo katika mkondo sahihi
Oct 03, 2022 23:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mazungumzo ya uondoaji vikwazo haramu ilivyowekewa Iran yanaendelea vizuri, na kwamba hatua za kuondolewa vikwazo hivyo zipo katika mkondo sahihi.
-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu
Sep 02, 2022 07:39Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, wakati umefika kwa utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani kuchukua maamuzi magumu juu ya kuhuishwa makubaliano yanayotarajiwa kufikiwa kuhusiana na kuondolewa vikwazo Iran.
-
Raisi: JCPOA itafufuliwa kwa kusuluhishwa masuala yaliyosalia
Aug 29, 2022 06:59Rais Ebrahim wa Raisi wa Iran amesema mapatano ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatafikiwa tu kwa kupatiwa ufumbuzi masuala yaliyosalia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA
Aug 29, 2022 06:32Mkuu wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) anatazamiwa kuelekea Washington kufanya mikutano kadhaa ya faragha na maafisa wa serikali ya Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.