-
Juhudi za Trump za kuhadaa dunia kufuatia kukabiliwa na ukosoaji mkubwa juu ya JCPOA
May 11, 2018 03:24Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha njama mpya zenye lengo la kupotosha fikra za walio wengi kufuatia kuongezeka mashinikizo na malalamiko kote duniani dhidi ya hatua yake ya kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.
-
Marekani imekiuka sheria kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
May 11, 2018 00:15Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kufuatia kufuatia hatua ya Marekani kukiuka sheria na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Ufaransa; fursa yenye mpaka ya Ulaya kwa ajili ya kuhifadhi JCPOA
May 10, 2018 23:35Baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, juhudi za madola ya Ulaya yaliyofikia makubaliano ya nyuklia na Iran zenye lengo la kuikinaishia Tehran ibakie katika makubaliano hayo zinaonekana kushika kasi zaidi.
-
AU yampinga vikali Trump na kutangaza kuiunga mkono kikamilifu JCPOA
May 10, 2018 10:13Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ameelezea wasiwasi wake kutokana na uamuzi wa serikali ya Marekani wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusema AU inaunga mkono kikamilifu mapatano hayo ya kimataifa.
-
Wanachuo na wahadhiri nchini Iran walaani matamshi machafu ya rais wa Marekani
May 09, 2018 22:53Wahadhiri, wanachuo na jumuiya za wanachuo nchini wameandamana na kukusanyika mbele ya 'Pango la Ujasusi' la uliokuwa ubalozi wa Marekani hapa mjini Tehran kulaani maneno machafu aliyotoa rais wa Marekani.
-
EU yapinga hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran
May 09, 2018 21:57Umoja wa Ulaya (EU) umebainisha masikitiko yake kuhusu uamuzi wa Rais Donald wa Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji , JCPOA, na kusisitiza kuhusu kuendelea kutekelezwa na kufungamana kikamilifu na mapatano hayo.
-
Yukiya Amano: Iran imefungamana kikamilifu na makubaliano ya nyuklia
May 09, 2018 09:40Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa mara nyingine tena amethibitisha kwamba, Iran imeheshimu na kufungamana kikamilifu na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Kiongozi: Msiziamini nchi 3 za Ulaya katika mapatano ya JCPOA
May 09, 2018 09:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria baadhi ya matamshi kuhusu Iran kuendelea kuwepo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na nchi tatu za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuhusu kufanya mazungumzo na nchi tatu za Ulaya, haipaswi kuziamiani na katika kila mapatano lazima kuwepo dhamana ya kweli na ya kivitendo la sivyo haiwezekani kuendelea kwa hali iliyopo."
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya JCPOA
May 09, 2018 09:22Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wameitaka serikali ya Iran itekeleza Kipengee cha 3 cha Sheria ya Hatua Mkabala Kuhusuaiana na Utekelezwaji Mapatano ya Nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Kujitoa katika JCPOA au kujenga uadui na Jamii ya Kimataifa
May 09, 2018 08:38Hatimaye Marekani imejitoa kwenye makubaliano ya pamoja ya nchi saba ukiwemo Umoja wa Ulaya, ambayo utekelezaji wake ulidhaminiwa na azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.