-
Zarif: Iran haina imani na Marekani
Sep 28, 2017 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA haukufikiwa kwa msingi wa kuaminiana na kimsingi Iran haina imani na Marekani.
-
Qassemi: Sura bora ya Iran imedhihirishwa katika Umoja wa Mataifa
Sep 25, 2017 11:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu huko New York na kushiriki kwake katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumedhirisha sura bora kuhusu siasa za Iran katika eneo na ulimwenguni kwa ujumla.
-
Nchi 134 zaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran
Sep 23, 2017 04:29Nchi za Kundi la 77 (G77) zimetoa taarifa na kutangaza kuunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA huku zikisisitiza ulazima wa kuondolewa vikwazo vyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Misimamo ya Iran katika eneo na kuhusu JCPOA inaafikiwa na nchi zote
Sep 21, 2017 11:10Rais Hassan Rouhani amesema, mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Mataifa unaonyesha kuwa misimamo ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati, kuhusu JCPOA na kuhusiana na hatua zilizopigwa katika uhusiano wa kiuchumi wa Iran na dunia inaafikiwa na nchi zote.
-
Dunia yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran, Marekani yatengwa zaidi
Sep 21, 2017 06:57Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na nchi za 5+1 kimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York kwa lengo la kutathmini utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji-JCPOA.
-
Machaguo ya Iran mkabala na kujiondoa Trump katika makubaliano ya JCPOA
Sep 21, 2017 03:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mazingira mapya yataandaliwa na kwamba Iran inayo haki ya kuwa na chaguo lake iwapo Marekani itajiondoa katika makubaliano ya JCPOA. Rais Rouhani ameyatamka hayo alipozungumza na televisheni ya NBC ya Marekani.
-
EU: Hakuna haja ya mazungumzo mapya kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran
Sep 21, 2017 02:39Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja JCPOA wa Utekelezwaji hayana haja ya kuangaliwa upya.
-
Iran iko tayari kukabiliana na chokochoko yoyote ya Marekani
Sep 21, 2017 02:35Afisa wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, iwapo Markeani itakiuka mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Uteekelzaji, JCPOA, Iran iko tayari kuanza upya shughuli zake zote za nyuklia.
-
Rouhani: Aliyeanza kukiuka JCPOA amechagua njia ya kutengwa; tunamsubiri Trump awaombe radhi wananchi wa Iran
Sep 21, 2017 00:12Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa makubaliano ya JCPOA si makubaliano ya pande mbili na kwamba nchi yoyote itakayoanza kukiuka makubaliano hayo na kukiuka ahadi zake itakuwa imechagua njia ya kutengwa.
-
Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran
Sep 19, 2017 23:24Rais wa Ufaransa amesema nchi yake itatetea mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita duniani katika vikao vya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalokutana mjini New York.