-
Algeria yataka Syria irejeshwe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 14, 2020 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ameziasa nchi za Kiarabu ziharakishe mchakato wa kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina
Feb 01, 2020 13:10Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangaza la mpango wa Marekani na Israel ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.
-
Palestina yaomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Jan 29, 2020 01:28Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) imeomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu baada ya kuzinduliwa kile ambacho Marekani imekitaja kuwa 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina.
-
Arab League yaonya juu ya kutumwa majeshi ajinabi Libya
Jan 01, 2020 08:00Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeziasa pande hasimu za kisiasa nchini Libya kujiepusha na hatua yoyote ambayo itachochea kutumwa vikosi vya nchi za kigeni katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Netanyahu: Israel kusaini 'makubaliano ya amani' na nchi za Kiarabu
Dec 30, 2019 07:31Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv karibuni hivi itasaini makubaliano ya amani na kuufanya wa kawaida uhusiano wake na nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Arab League yapinga rasmi msimamo wa Marekani dhidi ya Palestina kuhusu ujenzi wa vitongoji
Nov 26, 2019 08:05Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wametoa taarifa maalumu ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mgombea urais Algeria: Syria inabidi irejee Arab League
Nov 12, 2019 02:58Abdel Qadir bin Qrina, mgombea urais katika uchaguzi ujao wa Algeria amesema kuwa iwapo atashinda uchaguzi huo, basi atafanya juhudi kuhakikisha Syria inarudi kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu
Oct 20, 2019 07:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baadhi ya nchi za Kiarabu katika eneo zinaweza kupunguza taharuki miongoni mwao kwa njia ya mazungumzo na diplomasia.
-
Arab League: Operesheni ya Uturuki nchini Syria ni uvamizi wa kijeshi
Oct 13, 2019 07:55Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imesema operesheni inayofanywa na vikosi vya jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria ni uvamizi wa wazi wa kijeshi.
-
Arab League yaonyesha msimamo legevu kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kuuvamia msikiti wa Al Aqsa
Aug 12, 2019 14:53Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeonyesha msimamo legevu na dhaifu kwa uvamizi uliofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtukufu wa Al Aqsa wakati wa Sala ya Idul-Adh'ha.