-
Rais wa Iraq: Jen. Soleimani alikimbilia kutusaidia katika wakati nyeti
Jan 06, 2022 02:52Rais wa Iraq amesema Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), aliitikia mwito wa taifa la Iraq na kwenda haraka kushirikiana na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika wakati hasasi wa kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Kuuliwa shahidi Qasem Soleiman na kasi ya kuporomoka nafasi ya Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 03, 2022 11:16Leo tarehe 3 Januari 2022, inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.
-
Jumatatu, Januari 3, 2022
Jan 03, 2022 02:33Leo ni Jumatatu tarehe 29 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1443 Hijria sawa na Januari 3 mwaka wa 2022.
-
Shahidi Qassem Soleimani na kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama Asia Magharibi
Jan 03, 2022 02:32Moja ya maudhui muhimu kuhusiana na Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ni mchango wake katika kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama na mapambano katika eneo la Asia Magharibi.
-
Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran: Mauaji ya kigaidi dhidi ya Kamanda Soleimani yalichinja haki za binadamu duniani
Jan 02, 2022 15:24Naibu Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran katika Masuala ya Kimataifa ameitaja hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Kamanda Qasem Soleimani kuwa ni sawa na mauaji ya haki za binadamu duniani.
-
Jihad al Islami: Kujitolea kikamilifu shahid Qasem Soleimani katika njia ya haki hakuwezi kusahaulika
Jan 02, 2022 04:26Kiongozi mmoja mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis kumefungua njia kwa vijana wa eneo hili ya kupambana vilivyo na wanaoendesha njama za kulazimisha kukubalika utawala pandikizi wa Kizayuni.
-
Kiongozi Muadhamu: Jenerali Soleimani ndiye shakhsia mkubwa wa Iran, Umma
Jan 01, 2022 13:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.
-
Kuondoka Marekani katika eneo, sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Soleimani
Jan 01, 2022 03:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kufungasha virago na kuondoka vikosi vya jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi ni sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Oct 18, 2021 11:26Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na kuwaadhibu wale wote waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Ghalibaf: Damu ya Shahid Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawamaa
May 11, 2021 07:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, damu ya Shahid Qassem Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawama katika kona mbalimbali za dunia.