-
Kampeni za uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wake zaanza rasmi nchini Iran
Jun 10, 2024 11:09Siku ya kwanza ya kampeni za uchaguzi wa kabla ya wakati wake zimeanza leo rasmi hapa nchini Iran kwa wagombea kupewa muda sawa wa kutangaza sera zao katika kanali mbalimbali za redio na televisheni ya taifa.
-
Kampeni za uchaguzi wa rais Iran zaanza
Apr 21, 2017 07:40Baada ya mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran, kutangaza majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kampeni zimeanza rasmi leo Ijumaa.
-
Majina ya wagombea urais Iran yatajwa, kampeni za uchaguzi zaanza
Apr 21, 2017 04:15Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran, jana usiku alitangaza majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mara baada ya kutangaza majina hayo alisema kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 66 cha sheria ya uchaguzi ya Iran, kampeni za uchaguzi wa 12 wa Rais zimeruhusiwa kuanza.
-
"Silaha za Marekani zinachochea ugaidi Mashariki ya Kati"
Aug 18, 2016 14:21Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Kijani nchini Marekani amesema kuna haja ya kuwekewa vikwazo vya silaha nchi zinazochochea machafuko na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitiza kuwa, Washington imechangia pakubwa hali ya mchafukoge na harakati za ugaidi katika nchi za eneo hilo.
-
MEE: Saud Arabia inafadhili kampeni za uchaguzi za Clinton
Jun 14, 2016 13:17Kituo cha habari cha Middle East Eye (MEE) cha Uingereza kimefichua kuwa Saudi Arabia ni miongoni mwa wafadhili wakuu wa kampeni za uchaguzi za mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democtatic, Hillary Clinton.
-
Umoja wa Mataifa wataka juhudi zaidi kukabiliana na udhalilishaji wa kijinsia Kodivaa
Jun 02, 2016 04:07Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameishukuru serikali ya Ivory Coast kwa juhudi zake za kukabiliana na udhalilishaji wa kijinsia na kutaka juhudi zaidi ziongezwe katika uwanja huo.
-
Obama: Mienendo na rekodi ya Trump ichunguzwe
May 07, 2016 07:26Rais Barack Obama wa Marekani ametoa wito wa kutathminiwa na kuchunguzwa mienendo ya sasa na ya huko nyuma ya Donald Trump, mwanasiasa anayetaka kuchaguliwa kuwania urais nchini humo kupitia chama cha Republican.
-
Muungano wa Upinzani DRC wamtangaza Moise Katumbi kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa Rais
May 02, 2016 07:54Muungano wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umemtangaza Moise Katumbi kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa Rais .
-
Kampeni za duru ya pili ya uchaguzi wa bunge Iran zaanza
Apr 21, 2016 15:23Kampeni za duru ya pili ya uchaguzi wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran itakayofanyika Aprili 29, zimeanza rasmi hii leo Alkhamisi.
-
UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US
Apr 16, 2016 07:25Umoja wa Mataifa umekosoa vikali matamshi ya chuki na kichochezi yanayotolewa na baadhi ya wagombea na hususan wa chama cha Republican katika kampeni za urais nchini Marekani.